Muache aende zake atakupotezea muda huyoooKuna binti nakusudia nimemweleza niya yangu ya kumuoa baada ya kumchunguza vya kutisha. Amemaliza chuo mwaka huo ila tatizo analigomea ombi langu kwake anadai ana mtu licha ya kuwa utafiti wangu unaonesha kuwa yuko single....tunapiga story vizuri namsaidia changamoto zake na anakuja mara kwa mara kunitembelea. Shida nikimweleza juu ya mahusiano anasema ana mtu.......swali niendee naye au nimuache na 5o zake.......ushauri please........
Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogoSasa uendelee naye kwenye nini?
Mapenzi ya kung'ang'aniza saa nyingine yanaweza kuwa mazuri ila huwa yanakaraha yake ambayo usipokuwa makini unaweza kuwa kazi yako ni kuugulia maumivu kila kukicha.
Huo ugunduzi ndio utampoteza sababu kama mtu ameshamwambia ana mtu inambidi aamini tu na pia anatakiwa ajue kwamba hajavutiwa naye. Hahaaa.Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogo
Mwache tu anaendelee kumsaidia changamoto zake, ahaaaa!!Huo ugunduzi ndio utampoteza sababu kama mtu ameshamwambia ana mtu inambidi aamini tu na pia anatakiwa ajue kwamba hajavutiwa naye. Hahaaa.
Umeonaeee. Kweli kabisa Mkuu.Mwache tu anaendelee kumsaidia changamoto zake, ahaaaa!!
Ataelewa somo mwenyewe
hapo mimi mwenyewe ndio kaniacha hoi..huo uchunguzi aliufnya kwakutumia vifaa gani mpka aseme kuwa amefnya uchunguzi na amegundua kuwa hana mtu...!!?Mwenyewe anadai kafanya utafiti wake kagundua hana mtu, teh!! ahaaaa hapa kazi ipo si kidogo