Habari zenu wana jamvi, naombeni ushauri kwa hili suala nimekuwa nikijiuliza siku nyingi eti ikiwa mimi ni ke alafu nimefanikiwa kumiliki asseti kama kiwanja, nyumba au biashara then nikaanzisha mahusiano na me ambapo bado hatujafikia kwenye uchumba ila mpango ni kufika huko je kuna umuhimu wa mimi kumjulisha vitu ninavyomiliki au yeye kunijulisha au mpaka tukifika kwenye uchumba au ndoa? Naombeni mawazo yenu wadau.