Ndoa na wakwe ni full mateso.
Muhimu kutafuta mapaatano.
bora nijitaftie zangu yatima tu.
Yatima nao wanamatatizo yao besti.
Wanakuwa wameathirika kisaikolojia.
bora nijitaftie zangu yatima tu.
Hebu muulize........ni lazima ndoa ya mwenzie ifanane na yake........?......
nikapige zangu kura mie niende kwa mama mkwe wangu leo........kaniahidi kunipikia mdudu hodari.......na ndizi mzuzu.........
Na nani?
Kwanini?
Mkuu yatima ni watoto, ukioa utafungwa!
bora nijitaftie zangu yatima tu.
Yaan ni kama movie vile shida tupu,jamaa anadai hana mgogoro mkubwa wa kuvunja ndoa,migogoro midogo ambayo ni normal, yaan akikuelezea vikao walivyo kutafuta suluhu ni vingi kwenye vikao mama anakubar yameisha kumbe anazuga tu. Sasa hofu yake ni laana na na pia anahofu kumuacha mke kwani atamlaum mno ukizingatia wanamtoto wa miez nane.