Ushauri: Simba SC itengeneze vibegi vingi kwa ajili ya kuuza

syndicate

JF-Expert Member
May 5, 2016
204
315
Habari, bila kupoteza muda , naomba kutoa ushauri kwa management ya simba na marketing managers wa sanderland kutengeneza vibegi maalum vya kibiashara kwaajili ya mashabiki na wapenzi wa simba!

Vibegi hivi viwe katika muundo wa kuvaa kiunoni kwaajili ya vijana wa kike na wakiume na vingine viwe vigodo size ya waleti za akina mama!

Viwe katika rangi nne nyekundu, nyeupe, bluu, kijivu na nyeusi. Hivyo kuongeza machaguzi ya wateja katika rangi na muundo!

Naomba kuwasilisha!
SIMBA DAY UNYAMA MWINGI!
 
Simba kama kampuni itafanya vizuri zaidi ikiachana na mpira na ikahamia kwenye kutengeneza mabegi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom