ushauri plz

Endelea kukaa kimya tu, kama kweli anakupenda atakutafuta na akikutafuta mweke kwenye kiti moto ili akueleze kuhusu mwelekeo wa penzi lenu ukiona anajikanyagakanyaga basi akili mkichwa.
 
mzabzab !!! Heheheh swali muhimu hili

ah wewe wanawake kugegeda mbona kiti cha kawaida alafu wanashangaa jamaa akianza kuchuna....watu wanakutumia tuu na kusepa. ushauri wa bure wanawake mgegedane kwa raha yako na sio kutegemea makubwa
 
Ha ha nami nina ufiga mzuri najiamini balaa ndo mana nataka iwe summer time nikajiachie vya kutosha,hizo tight ass,thighs nk ndo mule mule
 
Anataka kukutumia hakupendi fanya mamuzi
 

Ukiona dalili izi ujue kuna m2 kakuzidi kete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…