Ushauri please

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
29
Dada yake John aitwaye Emmy, Emmy ameolewa na Jackson. Jackson anaishi na mpwa wake aitwaye Irene. je ni sahihi endapo John ataamua kumuoa Irene?

Hii inaruhusiwa kulingana na tamaduni za mtanzania?
------------------------------------------------
yaani we can say dada yake John ameolewa na mjomba wake Irene, je John na Irene wana uhalali wa kufunga ndoa?
 
Utamaduni wa m tanzania huwezi kutoa jibu kwani utamaduni hujengwa na mila na desturi. Mila na desturi zetu zinapatikana kwenye makabila. Jielekeze huko utapata jibu.
 
pondiboy aka john..tafuta demu mwingine kama vipi..achana na huyo
 
Kwikwetu wanaoana tena kanisani inaruhusiwa sijui tamaduni zenu km wanaruhusuu
 



yaweza kubalika kwa baadhi ya makabila. tanzania kama tanzania haina tamaduni bali makabila yaliyoko Tanzania ndiyo yenye tamaduni
 

Hapo Mkuu hakuna tatizo labda kama ndoa ya kwanza ina matatizo au watoto waliopatikana kuwa na matatizo either ya kimwili au kiakili tunaweza sema waepuke wasiongeze matatizo kwenye ukoo ila if not sioni tatizo kwani niliwah shuhudia ndoa twins wa kiume wameoana na twins wa kike hapo nahis ndio pazito lakn wapo had leo na wako very happy
 
nimekuelewa vzr mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…