Ushauri please

Jaman jaman nimeshtukaje?? ucje ukawa ndo baba mtoto wangu mbona ntachanganyikiwa
 

I wish someone could see this............
 
Pangeni fumanizi la kizushi na huyo mtarajiwa wako, huyo uliyenae ni lazima atafungasha virago kwa hiari yake, kisha taratiiibu unasogeza.
 
Sasa unaempenda naye ukute hakupendi kivile baadaye atampenda mwingine au kuna mtu ana mpenda zaidi yako
 

We kweli kiazi., as Nyani Ngabu said, Sucks to be you:shocked:
 
Pangeni fumanizi la kizushi na huyo mtarajiwa wako, huyo uliyenae ni lazima atafungasha virago kwa hiari yake, kisha taratiiibu unasogeza.
una ushaur mbaya yani,wsh one day yakukute hayo ndo utajua nini maana!

Back to the topic! Yan wewe mtoa mada dawa yako ya usaliti ipo tu,kwanin unamfanyia mwenzio hvo?usiache mbachao kwa msaala upitao! Umekaa na mtoto wa watu umemgegeda,umemzalisha na si ajabu umemchakaza, alafu unataka umteme kama bigijii! Criously??? Malipo ya usaliti ni hapahapa dunian!mungu atakulipa,ili kumbuka first love yako na huyo mzaz mwenzio ambaye unamuona kdampa!#okbye
 
Mwambie ukwelii uliemzalishaa ajiondokee mapemaa ila ukirogwaa usitulaumu sieee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…