wana JF, naomba mniambie nani mwenye kosa hapa. mimi au yeye au wote wawili. au tutaishi hivi for how long. tuna miaka miwili sasa tangu tuwe kwenye mahusiano.
Mimi sioni mwandishi mzuri, lakini nina imani mmenielewa.
A man needs to feel he is his own man.., sasa kumwambia aache kazi ili aje kuendesha miradi yako (ambayo itakuwa yenu) huenda ikawa ngumu, (kama ingekuwa rahisi fikiria kama wewe unaweza kuacha kazi yako ukaenda kule alipo kutafuta kazi nyingine au kuendeshea hio miradi yako kule alipo..)
Anyway maisha ni kuelewana na compromise, jaribu mkae chini na kuangalia opportunity cost, angalieni ni nani akiacha kazi itakuwa rahisi kupata pengine, angalieni ni wapi pesa mtapata zaidi kwenye miradi au mkifanya kazi.., pili huenda ikawa rahisi ukimwambia aje kuanzisha miradi yake/yenu kuliko kumwambia aje kuendesha miradi yako... (kumwambia aje kwako na aendeshe miradi yako inaweza kupelekea awe na low self esteem)
Siwezi sema nani ana makosa moja kwa moja.
Kila mtu ana priority zake maishani na njozi zake, si rahisi kuziacha sababu ya mtu mwingine.
Pia kuacha kazi mwanamme mwenye watoto afu aje akutegemee wewe umlishe na kumsomesha yeye na watoto wake + wako, sidhani kama ni rahisi kihivyo.
Pia usiharakishe kusema mali hizo ni zenu wote, bora mdefine mapema nini chenu wote na kipi kila mtu anamiliki chake.
Fikiria sinario hii.
Umefanya vyote vyenu, wewe unatangulia mbele za haki(Mungu aepushe mbali), itabidi aoe tena, watoto wako watakuwaje??
Mkuu hivi kuwa carefully na kuchukua calculated risks ni vibaya ?, alishakubali kwenda wakati kazi ilikuwa hailipi sasa inalipa huo ni uhakika kuacha hio kazi na kwenda kutegemea kuendesha miradi hakuna uhakika "One Bird in the hand is worth more than Ten on a Tree".. and remember huyu mwanaume kwa sasa uamuzi wake sio wake tu, bali wa watoto wake anaowasomesha2 ma side,kosa ni la huyo jamaa,kwanza hajiamini,ndo tatizo kubwa,wanaume mara nyingi tunaogopa na tunakosa kujiamini kasa pale tunapokuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye hela au mafanikio,huyo jamaa ana tatizo hilo,anaona utamuacha baada ya kumwambia msimamo wako,
but kama unahitaji kuwa na mtu pamoja na yeye hataki,tafakari chukua hatua mama.Unaweza kwenda kumuokoa mtu anaezama majini usipokua mwangalifu mtazama wote!
Lakini si na yeye anao watoto nadhani kwa upande wa commitments wote ni single parents hivyo sioni tatizo na kama wanapendana they can solve their issues..tafuta mwanaume mwingine....mwanaume sio huyo huyo,kwanza ana watoto wa kuwafikiria kisha na distance kati yenu...sioni kama ni ideal match,kwa nini ung'anganie uhusiano mfu kama huuu...uko desperate kiasi hiko???tafuta mwanaume mwingine ktk mji unaoishi na pia tafuta ambaye hana commitments za watoto,mke etc.....
Sasa hapo wanasolve maisha yao au wanakomoana.., yaani wote waache kazi na miradi yao ? (watakula oxygen ?)...In Africa it won't work as you wish. You need to move to a NEUTRAL GROUND where every party will feel safe. 'Dume kuolewa noma' It's psychological sometimes.
Sasa hapo wanasolve maisha yao au wanakomoana.., yaani wote waache kazi na miradi yao ? (watakula oxygen ?)
2 ma side,kosa ni la huyo jamaa,kwanza hajiamini,ndo tatizo kubwa,wanaume mara nyingi tunaogopa na tunakosa kujiamini kasa pale tunapokuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye hela au mafanikio,huyo jamaa ana tatizo hilo,anaona utamuacha baada ya kumwambia msimamo wako,but kama unahitaji kuwa na mtu pamoja na yeye hataki,tafakari chukua hatua mama.Unaweza kwenda kumuokoa mtu anaezama majini usipokua mwangalifu mtazama wote!
...In Africa it won't work as you wish. You need to move to a NEUTRAL GROUND where every party will feel safe. 'Dume kuolewa noma' It's psychological sometimes.
hakuna mwenye makosa, tatizo ni kwamba mwanaume mwenye kufikiri hawezi kuacha kazi aje kukaa kwako na kuendesha miradi yako,mwanaume hufikiria sana kuhusu 'risk' za hiyo makitu, nimpongeze, kwa kweli you have someone mwnye msimamo na akiendelea hivo mtafika mbali...mtafutie kazi kabisa , coz inaonekana kama huwezi kuhama kwa sabau ya miradi na hao wanawe,sio mabya,akija aanze kazi, simple, unless ana elimu ya kuungaunga!!!but im sure hilo sio big issue kama mnapendana