Habari waheshimiwa
Kama kichwa Cha habari kinavyosema nataka kufungua online business ambayo nitadeal hasa na all computer na vifaa vyake km ram na disk,flat screen nk..
Na mimi nipo DSM Kariakoo na BIASHARA yangu itakua ni natuma bidhaa mikoa yote Tanzania na plan yangu ni kuwa na mawakala mikoa yote Tz..
Na kuhusu bidhaa siagiz nje Kwa Sasa nacheza na Kariakoo tu later nitaanza KUAGIZA Alibaba..wakubwa ushauri wenu Mana ni km 1 week imebak niwashe mitambo na nitaweka matangazo Fb na Instagram na bidhaa zitakua cheep Sana with best quality..
Ushauri jaman àm new kwenye hi biashara