Kwa mtazamo wangu, kama unaweza anzia cert. then diploma. Kupita advance kuna madhara ikiwa hautafaulu, utakuwa umepoteza miaka yako miwili, na hii itakulazimu kutumia cheti cha form 4. Kama una uhakika wa kufaulu advance (inawezekana), pitia advance, piga msuli wa kutosha maisha yaende.