Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
Asante bro ila mi na ndoto Za Kuwa starUmaarufu hautafutwi.
Uzoefu unaonyeasha wengi miongoni mwa watafuta umaarufu wanaangukia pua bila kutimiza azima zao.
Nakushauri mdogo wangu soma tu kwa bidii ufaulu masomo yako.
The one and only KNIFE😀😀😀Kuna njia mbili.
1. Kuwa kichwa, ukiwa kichwa kila mtu atakutafuta umuelekeze masomo.
2. Kuwa mkia, ukiwa mkia kila mtu atakutafuta hili ashike mkia wako.
Kuwa star sasa, kuna haja gani ya kutuambia sisiAsante bro ila mi na ndoto Za Kuwa star
Wa kishua
Atakuwa star class kwao sio chuo kizima. .Kuna njia mbili.
1. Kuwa kichwa, ukiwa kichwa kila mtu atakutafuta umuelekeze masomo.
2. Kuwa mkia, ukiwa mkia kila mtu atakutafuta hili ashike mkia wako.
Mi class nipo nondo mzee baba ndo niliwabeba wanangu kwenye diskashionKuna njia mbili.
1. Kuwa kichwa, ukiwa kichwa kila mtu atakutafuta umuelekeze masomo.
2. Kuwa mkia, ukiwa mkia kila mtu atakutafuta hili ashike mkia wako.
Ushauri mbaya huuOy acha mimi nikushauri cha msingi wewe ukifika chuo achana na habari za kupiga msuli sijui kuingia class we fanya yako internet kwa sana.......zunguka mjini siku nzima halafa unajua nini uta DISCO hhahahahhahh huu ni ustaaa kuliko hata wa RIHANA
Nataka ushauri Koz Kuna Wana wapo chuo umuKuwa star sasa, kuna haja gani ya kutuambia sisi
Kweli apo itakuwa noma mzeebabaHahahahahha hapo tena sio umaarufu hapo ni kutengwaaa
Loan nishawakilisha kitambo nasubiria ndalichako afanye yakeKuwa na PESA nyingi, wote chuoni watakujua@
Lete ushauri mwambaAtakuwa star class kwao sio chuo kizima. .
Nokia ya Torch
Ahahahaha what is ovecaryOvercarry au ikìwezekana disco kabisa
Utakua maarufu tu.
Kichwani niko freshWw huna adabu mbuzi we unaenda kusoma au unaenda kuuza km akilin zero huupati umaarufu labda vichaa wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app