Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

mediy dullah

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
35
Reaction score
12
Wakuu naombeni ushauri wenu,najua humu kuna wataalam wa haya mambo.Nimehitimu form six lakini bado sijajua niombe nini ila mapendekezo yangu ni Engeneering mbili hizo,Nisome ipi, ingekuwa vizuri ukitoa na sababu ili nielewe cha kufanya.Asanteni
 
Sikushauri usome hizo degree program zote mbili utakufa njaa mpka kiama nakushauri tafuta program nyingine
 
Wakuu naombeni ushauri wenu,najua humu kuna wataalam wa haya mambo.Nimehitimu form six lakini bado sijajua niombe nini ila mapendekezo yangu ni Engeneering mbili hizo,Nisome ipi, ingekuwa vizuri ukitoa na sababu ili nielewe cha kufanya.Asanteni
kijana
me nasoma telecom dit
kwa ushauri wangu kama unaipenda field hii ya technoljia ya computer au telecom si mbaya ukaja na ukasoma kwani ni nzuri kama utaipenda na utahitaji kuwekeza akili yako kwenye kujiajiri zaidi kwani kozi hizi kwa sasa zinapoteza nguvu kabisa na ndo kozi za engineering ambazo zinakosa nguvu kabisa kwani sasa wanatuweka group moja na watu wa comp science kwenye ajira nyingi...
nakushauri kati ya hizo usome #telecom ila wakati unasoma pia ufanye proffesional courses kama CCNA CCNP OCA OCP MCSE na nyingine ukiweza na CISA hii itakufanya umalizapo degree yako uwe marketable pia kwny Computer jobs apps...
Kumbuka wanaograduate sio wengi kwa kozi hizi lakin wanakuwa wengi coz graduates compare na creation za ajira thn ukweli unakuwa graduates ni wengi lakin ajira ni chache na kweli graduates wengi wapo mtaa wa kozi hizi compare na engineering kozi zingine...
kama shida yako ni kusoma engineering yeyote soma CIVIL ENG, MECHANICAL ENG AU ELECTRICAL ENG...
hizo utakuwa katika safe side sana kaka...
nadhani itakuwa helpfully kwako kijana nlichoandika
 
Proffesional courses kama CCNA, CCNP OCA OCP MCSE na CISA zinafanywaje huku unasoma? I am interested.
 
Nimekuelewa kaka
 
Proffesional courses kama CCNA, CCNP OCA OCP MCSE na CISA zinafanywaje huku unasoma? I am interested.
karibu vyuo vyote vinavyotoa kozi hizi zinatoa hizo proffessional courses, unaweza ukawa unazisoma wakat wa field maana madarasa yake huwa na jioni na kama ukiweka muda poa unaweza ukasoma hata within semester...
ila bei zake lazima ujipange...
angalia www.dit.ac.tz au tembelea site ya #ucc au kama upo dsm check unique college
 
Wakuu naombeni ushauri wenu,najua humu kuna wataalam wa haya mambo.Nimehitimu form six lakini bado sijajua niombe nini ila mapendekezo yangu ni Engeneering mbili hizo,Nisome ipi, ingekuwa vizuri ukitoa na sababu ili nielewe cha kufanya.Asanteni
Wadogo zetu mnatuangusha, hadi unamaliza kidato cha sita hujajua unataka kusoma nini? Hivi unavyobaki dilema hata kazini utabaki dilema.
 
Wadogo zetu mnatuangusha, hadi unamaliza kidato cha sita hujajua unataka kusoma nini? Hivi unavyobaki dilema hata kazini utabaki dilema.
Kwa nature ya nchi yetu ngumu kujua bora tu waulize kujua hata nature ya soko LA hzo course, by the way kuuliza si ujinga
 
Kwa nature ya nchi yetu ngumu kujua bora tu waulize kujua hata nature ya soko LA hzo course, by the way kuuliza si ujinga
Unajua kwa sasa hivi kusoma kitu kwa kuangalia soko la ajira, mbeleni inaweza mpa taabu sana pale atakapokosa ajira. Mimi nadhani wachague kwa kuona ni kipi anakipenda sana endapo atakisoma atajifunza kwa bidii zote ili atoke akiwa vizuri. Iwe ni labour of love.
 
Kibongo bongo watu wanaangalia unafuu wa mkopo, ualimu kwa vile ni raisi ukisoma unachokipenda na hakina market ni shida kwa kweli. Bora wanavouliza
 
Wadogo zetu mnatuangusha, hadi unamaliza kidato cha sita hujajua unataka kusoma nini? Hivi unavyobaki dilema hata kazini utabaki dilema.
Unachokisema ni sahihi ila ukisoma vizur maelezo yangu utaelewa nini namaanisha ndo maana nimetangulia kusema mapendekezo yangu ni computer engeneering na telecom.nilichokuwa nakihitaji ni kupata ushauri.Hata ule usemi wa usilolijua......... mbona upo wazi kabisa....
 
Kibongo bongo watu wanaangalia unafuu wa mkopo, ualimu kwa vile ni raisi ukisoma unachokipenda na hakina market ni shida kwa kweli. Bora wanavouliza
Sasa kama ni soko la ajira mbona hizo zote mbili siyo kivile sana. Hakuna program ya Engineering yoyote ambayo kwa sasa unaweza kusema ninasoma nina uhakika wa ajira 100%. Lazima ujue kukaa nyumbani kupo ndani ya muda flani ila kupata ajira utapata. Telecom ilikuwa na soko sana wakati makampuni ya simu yanaanza ila kwa sasa naona kama imepoteza mvuto. Ukiangalia computer science nayo ni vilevile, mwanzoni ilikuwa hot sana sasa hivi ni bora computer engineering kwa sababu hiyo unaweza kujiajiri kwa urahisi sana. Computer engineering unadeal na software na hardware. Computer science ni software peke yake. Ndiyo maana nimesema upendo kwanza wa fani husika. Ukigusa tu fani yoyote inayohusu computer technology ujue hiyo inahitaji commitment kubwa kwa sababu technolojia kila leo inakuja mpya. Ubaya sasa udondokee chuo ambacho kinafundisha mtaala wa mwaka 70 ndiyo hapo kazi inakuwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…