Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
WALA USIHANGAIKE NDUGU TAFUTA TU WA NDOTO ZAKO AISEE, UKIONA UNAPATA UKAKASI KUOA KWA KUTEGEMEA MAONI YA WENGINE WAKATI ODDS ZINARUHUSU BASI HUJAWA TAYARI KTK HILO. DONT WASTE HER TIME ITS BETTER LATE THAN NEVER ON THIS.Salaam wana MMU,
Niko kwenye mahusiano yenye malengo miaka 2 sasa,huyu mpenzi wangu nampenda maana ana sifa nyingi nzuri ila tu ana asili ya unene (thick woman) na mfupi afu mi ni mrefu na mwembamba (slim man) yaani nikitembea nae siwezi mshika kiuno zaidi ya kuweka mkono begani,hata kumkumbati kichwa chake kinaishia kifuani tu.
Katika vigezo vyangu vya mke wa ndoto zangu napenda awe mrefu na mwembamba but huyu nilimkuta bikra nikachanganyikiwa nikaingia kwenye mahusiano je niendelee nae mpaka ndoa au maana hizo sifa mbili tajwa hapo juu naona kama ni changamoto yeye kuwa mke wa ndoto zangu...
Exactly [emoji1487]Mkuu up to this point of life still Unataka kuoa mwanamke sababu ni mrefu na mwembamba?, For God sake. Eating wamepata wenye hizo pigo ila wanajuta wengine hata hawalali nyumbani.....
What make a good woman is not the shape, but how she complete your life.
Umeanza kwa kumshangaa ila baadae ukakubaliana nae!wakati wa kubanduana urefu mnakuwaga sawa ila kuongozana unamzidi urefu ?
ila kuongozana na demu mfupi jau nishawahi kuulizwa nampeleka wapi mtoto wa watu