Iphone aina gani?nimeokota iphone, tangu ikiwa on mpaka imezima yenyewe na uzuri kulitumwa msg ya tigo pesa kupitia line iliokuwemo humo imetumiwa laki moja
ipo kabatini tu sim nzuri lakini ina bonge la password nina kazi ya kuitoa na kuirudisha niliikuta na missed call mpaka imezima sjui mwenye nayo ni nani ni muda mrefu mno kuitupa nashindwa kuitumia nashindwa
6sIphone aina gani?
Hivi iPhone zina maajabu gani?,nitoeni ushamba...1 hakikisha Apple ID ya anaekuuzia simu anaitoa kuruhusu wewe kuweka/kutengeneza ID yako.....
Hivi iPhone zina maajabu gani? Nitoeni ushamba...Naomba msaada,
Mimi ni mtundu wa android ila ios sina ujanja kabisa sababu hua sio shabiki wa ios, sasa kuna mtu kaniamini kanipa hela anahitaji nikamchukulie, sitaki kumuangusha...
🤣 🤣 🤣 🤣Utaja kamatwa na unaulizwa mwili wa marehemu upo wapi?
Hivi iPhone zina maajabu gani?,nitoeni ushamba...
niliokota iphone, tangu ikiwa on mpaka imezima yenyewe na uzuri kulitumwa msg ya tigo pesa kupitia line iliokuwemo humo imetumiwa laki moja
ipo kabatini tu sim nzuri lakini ina bonge la password nina kazi ya kuitoa na kuirudisha niliikuta na missed call mpaka imezima sjui mwenye nayo ni nani ni muda mrefu mno kuitupa nashindwa kuitumia nashindwa
Kama ni kweli na upo dar nitafute hizo tunatoaga hizo id na kuweka mpya na utaitumia kwa uhuru wote ...hakuna kinachoshindikan chin ya jua
Itapona tu njoo inbox nikuunganishe na mtaalam
naomba nambie alipotezea sehemu ganiUpo wapi? Nna jamaa yangu alipoteza iphone yake 6s ni mda sasa umepita
najaItapona tu njoo inbox nikuunganishe na mtaalam