Goodhope078
Member
- Mar 8, 2017
- 72
- 23
Pia nakupata Sana ila nimekuwa nkiona et nkimxhukua ndgu watanizonga pa1 na jamii inayonizunguka ila kiukwel nmekufa nkaoza kwa huo dada nahs kumpenda kupndukia MKUUSikiliza moyo kijana ila usisahau kushirikisha ubongo
Hujakosea mkuu ila umuhimu wa Hili jukwaa nikutoa elimu na ushauli kwa watu wanaohitaji ushauli KWAHIO SION TATIZOyaonyesha Umri wako bado mdogo sana hujakomaa huwez hata kufanya maamuz sahihi katika mapenzi...
Nooo wapo weng tuuu ila bas yeye tu ndo kanidakaHuyo dada ndie "kakubikiri" au ulikuwa umeshawahi kufanya na mwanamke mwingine?
Nasubiria majibu ya haya maswali....Aliyewahi kumuoa yupo hai? Walizaa mtoto/watoto? Ilikuaje wakaachana?
Kama yanakufaa maswali hayo, yazingatie kwa kina!
Naaaam mkuu nmekusomaTafuta mwingine, huwa wanarudi kwa waume zao hao hata kwa ku cheat. Hawana ujanja
Nakujibu mkuu yupo hai lakn aliolewa kwenye upali alikuwa mke wa pili yeye sasa akawa anapewa mateso na Mme akeNasubiria majibu ya haya maswali....
Pia nakupata Sana ila nimekuwa nkiona et nkimxhukua ndgu watanizonga pa1 na jamii inayonizunguka ila kiukwel nmekufa nkaoza kwa huo dada nahs kumpenda kupndukia MKUU
Nimejaribu hadi kugoogle sijapata matokeoMsimbe ndo nn?
MTU alieachana na Mme au mkeMsimbe ndo nn?
Huwezi kuchomoka umeshakula chakula chake ukashiba kilichochanganywa na uchi wa fisimaji jike.Utaoa tu upende usitake.Pia nakupata Sana ila nimekuwa nkiona et nkimxhukua ndgu watanizonga pa1 na jamii inayonizunguka ila kiukwel nmekufa nkaoza kwa huo dada nahs kumpenda kupndukia MKUU