wakuu
kuna msichana nimetokea kumpenda yani kumpenda kweli kweli sio utani!
kama ni kuteka hisia basi yeye kateka asilimia 80 ya hisia zangu na nilipanga awe wangu wa maisha
dada huyu nasoma nae college moja na mda si mrefu tunagraduate
lakini huyu dada yeye hayuko tayari kua na mimi na ameshanitamkia kabisa
ila akili yangu imeshndwa kumsahau kabisa, kila nikikaa namuwaza yeye,nikimuona hata na wavlana wengne ndo kabisaa moyo unaniumaa sanaa
nimeshndwa nifanyeje, naombeni ushauri wenu maana akili yangu imeshndwa kumsahau!