Ushauri: Nimekuja kugundua naishi na mwanamke ambaye amewahi kuugua Ukichaa

Experience is an edge. Hizi kazi za kawaida ama hizo fani hapo juu pamoja na kusoma miaka iyo yote bado wanazitangaza wakiweka uzoefu Kama kigezo.
Ila trading or investigating mtu anaona Kama ni kamari ni suala tu kusema head/tail.

Listen everybody gets what wants out of market. If you want to trade like gambling,if you want to a house aka casino is possible,if you want to trade for excitement, thrills or doing your impulsive trading is possible.

Trading is hard this hardest is in our mind.
Trading is life, trading inaendana na scripture za Bible kuwa usihangaikie ya kesho Wala Jana Bali itazame Leo yako.
Be at present ,be at this moment.
 
Ugonjwa wa kichaa unaweza kumpata yoyote, mahali popote.

Haupo salama sana kwamba wewe huwezi kuugua kichaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu ukilala usiwe unafumba macho yote acha jicho moja wazi kumcheki kama hajachukua gongo kutaka kutaka kukudhuru.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…