Ushauri: Nimefall kwa house boy wangu


Hapo kwenye bold. Kama mume ni kikwazo mwambie aombe talaka yake huyo mwanamke then amchukue house boy akaishi nae. Wanawake wengine ni hopeless kabisa. Pumbav
 
Muondoe hapo nyumbani akikukula ataanza dharau kwa mumeo.
 
Umejoin 2013 lakini bado haujawa GT(Great Thinker) still GS(Great Sinker).
 
Kila ukimuona unaloa[emoji23][emoji23][emoji23]
Wonders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu nimewazoea kuwaona mpaka nahisi tuko ktk read identity...mmoja wao ni wewe sasa nilipo ona title na kufungua mtoa mada mi wewe...nikastuka aisee ikanibidi nisome sasa habari yote....aisee huyo mtu hafai kuwa rafiki yako na usimpeleke kwako...kill the friendship...ASAP......don't entertain anything from her...here or any where...huyo si mtu mzuri kuwa rafiki yako and don't ask anything for her may brand you differently rafiki.
Happy New Year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu utakuta mtu huyu amevuka mwaka kuingia mwaka mpya. Kweli Mungu hana upendeleo.
 
Kwa mwanaume mwenye akili.. hawezi kuweka "hausiboi "..ndani!... kwa usalama wa mkewe...
wakubwa tunaelewana..
 
Happy new year Rqfiki yangu, Asantee kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Dah mama hata Mimi huwa nakupimia sana thanks to JF imetuunganisha na my sweet mama house
 
Jtahdi tu mkuu kulishinda hilo ni pepo. Na uzinifu huwa ni kama sijui nn tu yan ukianza hutaacha.
Utaonja kwa houseboy utaona mbona hana ulichokuwa unazan anacho? Utaanza kutaman wanaume wa nje uonje utaonja utaona mbona nao hawana LA ziada?
Utaanza kutaman ht waume wa majiran zako utaanza ivi mama flan huwa anafaid nn kwa mume wake utatamn nawe ukionje pepo la ngono tu litakuwa linakuongoza.
Baada ya hayo yote unafikiri nini kitafata.

Jiulize mumeo akijua itakuwaje? Suppose huyo houseboy akawa ana magonjwa? Fikiri mkuu kabla ya kutenda. Hizo hisia ebu mpe zote mumeo jaman angalia mumeo anavojutuma kutunza familia had huyo houseboy yuko hapo means maisha yenu angalau siyo haba. Kemea hilo n pepo tu mkuu tena likikuachia utajiona kumbe ulitaka kufanya upuuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…