Prince kelly
Member
- Aug 29, 2017
- 43
- 48
hahahahaha kuonja onja chakula akishuki vizurimtoa mada embu muogope Mungu, yn hukula wala kunywa chochote kwa wiki kadhaa.?
22 mkuuUna miaka mingapi mkuu?
Mbona nasie tulishawahi kua na umri huo na hatukuyumbishwa kimawazo au vitendo.. Wewe mwana ushaona unafanana nae afu unasubiri mwanamke ndio akuamulie kua niwako au sio wako.. Pambania damu yako.22 mkuu
asantee kwa ushauri maana mwanamke simuelewi elewiMbona nasie tulishawahi kua na umri huo na hatukuyumbishwa kimawazo au vitendo.. Wewe mwana ushaona unafanana nae afu unasubiri mwanamke ndio akuamulie kua niwako au sio wako.. Pambania damu yako.
Fanya hata ukapime DNA. Usiache damu yako mikononi mwa wengine
Hutakaa uwaelewe wanawake hata siku moja.. Pambania damu yakoasantee kwa ushauri maana mwanamke simuelewi elewi
nashukuru sanaHutakaa uwaelewe wanawake hata siku moja.. Pambania damu yako
Mpe moyoMbona nasie tulishawahi kua na umri huo na hatukuyumbishwa kimawazo au vitendo.. Wewe mwana ushaona unafanana nae afu unasubiri mwanamke ndio akuamulie kua niwako au sio wako.. Pambania damu yako.
Fanya hata ukapime DNA. Usiache damu yako mikononi mwa wengine
Baharia unakwama... kwanza mwanamke kakupiga chini sawa umekubali yameisha... ila bado kila anachokuambia unafanya unapigiwa simu unapokea, unaitwa kwenye graduation umeenda ye ni ndugu yako? kuwa na misimamo mzee ndomana huyo mwanamke alikupiga chini sababu alishajua amekushika so hata akienda kwa mwingine wewe bado ni wake tu atakufanya anavyotaka