chakula cha watoto JF-Expert Member Joined Apr 25, 2023 Posts 539 Reaction score 1,545 Jun 16, 2023 Thread starter #21 Mjamaa1 said: Hovyo kweli Click to expand... Ww
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,189 Reaction score 12,371 Jun 18, 2023 #22 Kuna madingi hawaoni noma kukuchana Siku moja nimempigia simu dingi, ile tumemaliza maongezi akasema " Hivi hadi leo unalala peke yako" niliona noma sana jioni ile
Kuna madingi hawaoni noma kukuchana Siku moja nimempigia simu dingi, ile tumemaliza maongezi akasema " Hivi hadi leo unalala peke yako" niliona noma sana jioni ile
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,030 Reaction score 40,116 Jun 18, 2023 #24 Anakujali sana tena baraka fanya kuoa
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,296 Reaction score 49,308 Jun 18, 2023 #25 APEFACE said: Kuna madingi hawaoni noma kukuchana Siku moja nimempigia simu dingi, ile tumemaliza maongezi akasema " Hivi hadi leo unalala peke yako" niliona noma sana jioni ile Click to expand... 😀😀Ungemjibu Kuna mchongo nausikilizia
APEFACE said: Kuna madingi hawaoni noma kukuchana Siku moja nimempigia simu dingi, ile tumemaliza maongezi akasema " Hivi hadi leo unalala peke yako" niliona noma sana jioni ile Click to expand... 😀😀Ungemjibu Kuna mchongo nausikilizia
C Catel JF-Expert Member Joined Sep 13, 2022 Posts 958 Reaction score 1,656 Jun 18, 2023 #26 Waambie kama wameoa wao inatosha
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,375 Reaction score 6,656 Jun 18, 2023 #27 Mpigie simu baba yako sasa hivi umwambie umempa mtoto wa watu mimba kajifungua na hela ya hosipitali laki moja inahitajika fanya hivyo hivyo kwa ndugu wote wanaokuambia hayo maneno. Wakikutumia fanya mpango uoe wakizungua achana nao
Mpigie simu baba yako sasa hivi umwambie umempa mtoto wa watu mimba kajifungua na hela ya hosipitali laki moja inahitajika fanya hivyo hivyo kwa ndugu wote wanaokuambia hayo maneno. Wakikutumia fanya mpango uoe wakizungua achana nao