Ushauri: Nataka kuzamia meli niende Ughaibuni

Haaa haaaa.Magu legezaaaaa.we Baba hali sio watu wanaanza kuwaza kujitoa mhanga.Anyway upo baharini upande gani walau nikuletee vichips??
Heheheheh we jamaa, acha tu!
 
mkuu usisahau kubeba mkate na cocacola kadhaa ussije kufa njaa
 
Sikiliza wimbo wa vijana jazz wa miaka ya 80 kabla hujazamia. Ngapulila
 
Wakikushika utakuwa mke wao humo melini yan utapigwa mtungo mpaka utajuta kwnn ulizamia
 
aisee
tutakuokota kwenye mifuko ya mahindi
 
hawanag huruma,wakikupata wanakutupa baharini.
 
Ni kweli maisha kule ni mazuri ila sababu za kwenda ndio zinatofautiana zamani ilikua maisha saa hii ni usalama wa maisha coz of vita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…