babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Tatzo nauli mkuuTechnology imekuwa kwa kiasi kikubwa swala la kuzamia limeanza kusahaulika.
Tafuta njia nyingine si kuzamia
Saivi ulinzi umekua sana.
Nakwenda ZimbabweKila la kheri
Maumivu na maisha magumu ya wengine kwako furaha sio?!Haaa haaaa.Magu legezaaaaa.we Baba hali sio watu wanaanza kuwaza kujitoa mhanga.Anyway upo baharini upande gani walau nikuletee vichips??
Pembejeo zipo mjini lakiniNenda kijijini kalime acha uvivu
Akifika kijiini akili itakuja tuu mkuu, atajua aanzie wapiPembejeo zipo mjini lakini
Dan jf kiboko yawababe aiseee yaan hata uwe mmbabe vip ila utatukanwa2 maana hamuonaniAlbadili naona imeanza kufanya kazi mtatajana tu ***** nani alimpiga risasi Lisu