Lugha ya Taifa ya Zambia ni Kiingereza, zinazofuata ni Kilungu ( kifipa), Kibemba, Kimambwe hata Kiswahili kutegemea eneo.
Wazambia ni wapole sana,na wapiga kilaji!
Kama hujaoa,si ajabu utaoa huko,kwani wanawake wa Zambia wanapenda sana Watz.
Kwenye kodi za biashara,ni wataratibu ila strict,hawapendi rushwa rushwa. Mengine nitaongeza baadae.