ushauri nataka kuacha chuo(udom).

Dogo,jaribu kupita kwenye vipindi vya dini ile jioni,waone viongozi wa madhehebu husika hapo udom,waambie matatizo yako then wao watawakonvice waumini wao kukusaiadia walau upate hata pesa ya kula.na hapo udom sijui ni wanafunzi hampendan au vip,inakuaje wenzako wanakuona unakula makombo cafeteria na wao hata hawashtuki kukuuliza kulikoni?
 

mmm ni hatari mkuu but ahsante kwa ushauri wako.
 
Pole ndugu, but never give up! hata mie nna tatxo kama lako but nilishafungua moyo .
 
Pole sana mkuu usikate tamaa vumilia komaa Mpaka umalize hamna mafanikio marahisi kwa kweli
 
Kesho njoo LR7 asb saa 12 kamili hadi na nusu baada ya hapo tunaweza jadiliana kitu, ni inbox jina lako kamili
 
pole sna bro ipo siku utaushangaza ulimwengu changamoto n nyingi ktk maisha
Umenikumbusha kuna jamaa yang uwezo wa kutoa msaada alikua nao ila ananiuliza maswal y kejeri maisha vip chuon wakat yeye pia ana mtoto hapa hapa

Nilichomjibu nilimwambia sitaki maswali ya kipuuzi hakuamini kama yale maneno yametoka kinywani kwangu nilijipa matumaini na kusonga mbele kilichobaki namwomba mwenyezi mungu ampe maisha marefu ili aje kushuudia mafanikio yangu najua ntasonga tu mpaka phd

kwa mungu kila kitu kinawezekana
 
Ongea na mkuu wa chuo, serikali ya wanafunzi, ukiweza mtafute mbunge wa hapo ambae ni Mavunde. Ni kijana, ana nafasi ya kukusaidia hata kuhusu mkopo
 
Japo mimi nimeacha chuo lakin sikushauri haraka hvyo ndg
Cha msingi km maisha yamebana sana ahilisha chuo unakuja unajipanga,then unarudi tena chuo
Kuacha chuo kuna changamoto nyingi bro,tena ukiacha chuo it means hela ulizotumia kwa kipind chote cha mwaka na nusu zimepptea

Mimi nimeacha chuo kutokana na chuo cha st joseph university arusha kukosa hadhi ya kuwa chuo kikuu,nkajalibu kutafuta transfer ila kwa bahatibaya nilikuwa nimemaliza semester moja hvyo transfer ikashindikana
Ila kwa hapo UDOM nakushauri ahirisha mwaka ndg

Pia mungu akuepushe na mawazo ya kujinyonga hayo ni mawazo yaliyo kosa muelekeo kimaisha bcz kujinyonga ni kukimbia tatzo ila sio kutatua tatzo
 
Kuna mtu alikuwa na shida kama wewe akawa anafua nguo za wanachuo wenzake kwa fedha kidogo "DOBI" aliweza kupata fedha ya kujikimu.

Swala la ada fuata ushauri uliopewa na wadau.

Ila issue ya misosi ondoa aibu kuwa dobi.
 
Pambaf! watu kama hawa huw wana dhiki mpaka kwenye ukucha ila wakifika hum full kukejel wenzao nahc we n first year umepata ka boom kanakupa wehu mwenzio unamuona kinyesi pambaf thaana,umeniboaa sn .

Wakusepa, umemkot jamaa vibaya, fuatilia vizuri conversation yeye ndio alikuwa anampa onyoo mqundu mmoja hapo juu.
 

Hizi nyimbo tunazoziita za dini zimetuharibu sana....!

Wala Mungu hatakubariki kwa staili hiyo eti apewe maisha marefu ili aone utakavyobarikiwa????!
 

mim pia nitakuw tayar kumchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…