ukweli wajawazito ni watamu sana kwenye hiyo game, tabu yao ni kuchoka haraka hata kabla hujamaliza.Habarini wadau!
Nimekuwa mhanga wa hii kasumba ya kupenda sana wajawazito! Yaani nikiona mjamzito naweza ahirisha safari na kumpa lifti mpaka anapokwenda afike! Mbaya zaidi, natokea kuvutiwa nao kimapenzi, na kuwatongoza!
Kuna mmoja alinishangaa namtongoza vp wakati ana mimba! Yaani alinikubalia huku akilia, na kusema toka amepewa mimba hajawahi kuingiziwa dushelele, coz aliyempa mimba alimkimbia. Mpaka leo nipo naye, soon anajifungua, na watu wanajua ni mimba yangu.
Nipo njia panda maana, akijifungua hanioni tena
am 32..sio kijanaAcha kuchezea hisia za watu wewe... Gentleman hatuko hivo...ujana utakuwa unakusumbua
Nasikia wajawazito wanakuwa na rambo kuwa aiseeeHabarini wadau,
Nimekuwa mhanga wa hii kasumba ya kupenda sana wajawazito yani nikiona mjamzito naweza ahirisha safari na kumpa lifti mpaka anapokwenda afike. mbaya zaidi, natokea kuvutiwa nao kimapenzi, na kuwatongoza.
Kuna mmoja alinishangaa namtongoza vipi wakati ana mimba yaani alinikubalia huku akilia, na kusema toka amepewa mimba hajawahi kufanya mapenzi, coz aliyempa mimba alimkimbia. Mpaka leo nipo naye, soon anajifungua, na watu wanajua ni mimba yangu.
Nipo njia panda maana, akijifungua hanioni tena.
Habarini wadau,

Labda hana uwezoMtie mimba dem wako umpende
Ni kweli wanakuwa hot Kama mbwa bikeHauko pekee yako kwenye hili Mkuu, Wanaume wengi katika nchi nyingi dunani huvutiwa sana na wanawake wajawazito. Pia kumbuka wajawazito wengi hunawiri na hivyo kuongeza mvuto wao. Mie nakumbuka mdada mmoja ofisini ilikuwa ni kivumbi na jasho maana kabla ya ujauzito alikuwa ni moto wa kuotea mbali sasa ujauzito ukaongeza mvuto wake mara mbili zaidi na mimba yake ikanipenda lol!