nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Hongera sana kwa kuwa kijani muaminifu. Hata hivyo weledi na elimu yako huenda haviendani. Inakuwa unashindwa kujenga hoja na kushawishi.
Mie natambua mtu unaposimamia kazi na mikononi mwako zikapita hela haziwezi zote kupita bila kuacha Manyonya.
Tambua kila sehemu unapofanya jambo Wewe upo sokoni. You must perform a job at a maximum.
Kuongea nshaongea sana..kila mmoja nimempelekea bness plan yangu. .ila hamna anayetoa ushirikianoHujui thamani yako na wapi unasimama ndiyo maana unatumika tumika kila mahali. Usije shangaa hata unapata kazi ya kuajiriwa ukaambiwa hatulipi mishahara hapa na ukakubali kufanya kazi kwa imani. Acha kuishi kwa imani za kufikiriwa, ongea vile unavyotaka wewe iwe.
Kufuta Meza na degree yangu ya uhasibu ntakua sijaitendea haki. ..by da way thnk you for ur commentHujitumi wewe,oga kuwa smart nenda town ongea vizuri na watu jishushe hata kazi ya kufuta meza utapata na ukipata chochote kitakuwa chako! Na hicho ndio kitakupa heshima usipigwe hiyo danadana vinginevyo wanakuona kula kulala so they deserve you!!
Mm ni kijana wa miaka 25 nmemalza chuo fulani mwaka juzi tatizo lililonifanya nije kwenu kuomba ushauri ni hii swala la kutumika bila manufaa yoyote ninayoyapata
1 . nlivyomaliza chuo baba alinipeleka manyara nikasimamie mashamba yake ya vitunguu mangola bila mshahara wowote(ananihudumia nauli na hela ya kula tu) kwa kweli nilifanya ile kazi kwa juhudi zote ila misimu yote miwili aliyovuna hajanipa hata 100.
2.baada ya project ya baba kuisha kaka yangu alianza ujenzi wa nyumba TEGETA nkaenda kusimamia ujenzi na huyu pia hakuna Lipa.
3.dada yangu ana vi biashara vyake huwa ananituma kufatilia pesa zake pamoja na kupeleka bank karibia kila siku pasipo na malipo pia....kuna kazi nyinyingi ambazo sijazitaja..hii Hali kwa kweli imenishinda kutumika japo ni ndugu zangu na mimi nahitaji kujenga maisha yangu tatizo ajira hamna na wote hao nimejaribu kuwaomba mtaji hakuna aliyenipa kila siku napigwa Dana Dana tu....juzi baba kaniita anataka nirudi manyara kusimamia mashamba yake na kimila kila kitu anachosema baba lazma ufate lasivyo atakuvulia nguo akulaani(apa nafuta machozi ) 😢😢......naomba ushauri ndugu zangu nifanyeje? ?au ni kawaida mm tu ndo nmepanic ?
Kufuta Meza na degree yangu ya uhasibu ntakua sijaitendea haki. ..by da way thnk you for ur comment
Ahsante kwa kutuambia jinc watu wanavokutumia.jee huoni kuwa huo ni mtaji.
Nakushauri.
Nenda tena shambani piga kazi miaka miwili.na hakikisha Mara hii husibiri baba yako akulipe.mpige pesa utayoanzia biashara yako.
Pole sana.
Asante kwa ushauri...unamaanisha nianze kuiba? ?? Cjazoea hiyo tabia