Watu wengine sijui mtakuwa lini, sasa unalazimisha awe anaku cheat au?
Hujamkamata, hujamshtukia, hujaambiwa na mtu hujaona chochote kisa tu kakuzidi akili basi lazima anakucheat, we sijui wa wapi asee. Ukipata boya unalalamika ukipata mwenye akili unalalamika. Acha utoto, tumia hiyo akili yake msonge mbele boya wewe.