calabocatz
Senior Member
- Jan 1, 2017
- 110
- 88
Asante mkuu kwataarifaSasa hapo chuo cha serikali kutokana na ushindani hutopata nafasi kwa diploma but kwa certificate utapata ila kwa private wale zoazoa ada yako tyuu diploma utapata so kazi kwako kumbuka epuka competition hasa kwa awamu ya kwanza ambayo ukitoswa tuu vyuo vya government hutoviona tena nachokushauri nacte wakitoa apply mapema ACM yaani certificate vyuo vya public langu hilo tuu though vigezo vya chini vya diploma unavyo
Engineering science ipo ambayo ni sawa na physicsSijaona Physics au macho yangu?
Engineering science= physics kwa ss tuliosoma tech schoolSijaona Physics au macho yangu?
Kwahiyo private naweza pata nafasi?Clinical mrdicine ipo poa na ajira za uhakika sana kulinganisha na hizo zingine.
kama umekizi vigezo vya chuo usika unapata.Kwahiyo private naweza pata nafasi?