Tripp JF-Expert Member Joined Feb 2, 2018 Posts 917 Reaction score 1,607 Jul 3, 2018 #1 Nikiwa nimebobea kwenye software na kuijua simu hasa smartphone ndani na nje nakaribisha maswali, mawazo kuhusu simu na kinachokusumbua
Nikiwa nimebobea kwenye software na kuijua simu hasa smartphone ndani na nje nakaribisha maswali, mawazo kuhusu simu na kinachokusumbua
Ally7 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 517 Reaction score 770 Jul 3, 2018 #2 Me naitaji niweze ku root simu yangu ni tecno camon cx, Naomba msaada wa kuroot. App ipi inafaa nitumie kuroot?
Me naitaji niweze ku root simu yangu ni tecno camon cx, Naomba msaada wa kuroot. App ipi inafaa nitumie kuroot?
Pablo 119 JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 1,520 Reaction score 1,969 Jul 3, 2018 #3 Sim ya samsung note inabagua kusoma line mwanzo ilikua inatumia tigo na halotel voda airtel inagoma baada ya ku restore saiv inasoma airtel line zingine zinagoma
Sim ya samsung note inabagua kusoma line mwanzo ilikua inatumia tigo na halotel voda airtel inagoma baada ya ku restore saiv inasoma airtel line zingine zinagoma
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Jul 3, 2018 #4 nataka kuokota smart phone ya Samsung j 8 nifanyaje??
msigazi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2017 Posts 475 Reaction score 358 Jul 3, 2018 #5 Nataka kuroot simu Aina ya Itel s11 VP Nipitie njia ipi nifanikiwe kuroot?