Habari ndg wana JF, ninakuja kwenu kuomba mnijuze taratibu za ununuzi wa chombo cha moto unafanyikaje, ni vitu gani vya kuzingatia ili kuepuka matatizo yasiyo ya lazima ya 'Sikujua'natanguliza shukrani wakuu
Hata AK 47 ni chombo cha moto mkuu
Sema ni nini unataka kununua
Kila mtu ame experience kweny sekta yake
Wengine magari wengine pikipiki wengine bajaji