David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,678
- 5,219
mbona una mawazo hasi wewe?? kwani kuna tatizo gani? kutoa ushauri kuna ubaya gani?Mwanamke anakuelezea wewe mwanaume matatizo yake ya ndoa!
Wewe una mke??
Kuna kitu anataka huyo
Kuwa mwangalifu
kwani tumekuaje ,toka dunia kuumbwa tuko hivyo ,huyo mwanamke kama hakupewa pesa ya sikukuuu hapo sawa ,lakini jambo la mzee wa nyumba kukaa nyumbani siku ya sikukuu wakati huko nje kuna maua mazuri huo ni uboya kiwango cha Phd, nyumba ndogo zimekuwepo toka dunia imeumbwa, nabii suleiman alikuwa na wake kma 300 na michepuko kam 700, unakaa na mume mna lala kitanda kimoja jan-dec asipoonekana siku moja tu roho zinawauma,acheni wivu bana kizuri kula na mwenzioDaaah ! Wanaume hawa jamani mbona mpo hivyo
je hivi anavyofanya ni sahihi??
je mtu kama huyu anayeiacha familia yake katika sikukuu nzito kama hii ya kuupokea mwaka na kupanga mipango ya familia ,badala yake anakimbilia kwa mchepuko je nafasi yake ktk kijamii ni ipi?
Ni baba anayejitambua kweli???
mbona una mawazo hasi wewe?? kwani kuna tatizo gani? kutoa ushauri kuna ubaya gani?
Ni tar 28, mwezi huu... Na mimi ndo nausubiriKuna mwaka mpya wa kichina nadhani unaanza April, labda jamaa anausubiri huo kujumuika na familia yake?
Mpe ushauri, ila yote huishia kwenye kupeana papuchi, hawaeleweki walivyo haombona una mawazo hasi wewe?? kwani kuna tatizo gani? kutoa ushauri kuna ubaya gani?
Mwanamke anakuelezea wewe mwanaume matatizo yake ya ndoa!
Wewe una mke??
Kuna kitu anataka huyo
Kuwa mwangalifu
mbona una mawazo hasi wewe?? kwani kuna tatizo gani? kutoa ushauri kuna ubaya gani?
joanah yupo sahihi!mbona una mawazo hasi wewe?? kwani kuna tatizo gani? kutoa ushauri kuna ubaya gani?