Wild fauna JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 461 Reaction score 189 Sep 19, 2020 #1 Salaaam wana Jf Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida . Nb: eneo ninalo la kutosha
Salaaam wana Jf Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida . Nb: eneo ninalo la kutosha
Agenda1 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 1,692 Reaction score 3,420 Sep 19, 2020 #2 Bado haujajua kuitumia jf vzr. kila kitu kimeshajadiliwa humu ni juu yako kuzifukua nyuzi hizo, wao wanaita "makaburi"
Bado haujajua kuitumia jf vzr. kila kitu kimeshajadiliwa humu ni juu yako kuzifukua nyuzi hizo, wao wanaita "makaburi"