mdaumzalendo1
Member
- Feb 2, 2018
- 76
- 50
Nakuunga mkono mkuu.Naomba ufanye utafiti wako umpya kwa hypothesis hi mpya "kwanini wanafunzi wa vyuo wanamiliki "smart phone za bei kumbwa na wanakosa laptop za bei ya chini " sio simu tu wengine wanamiliki subwoofer za 700,000 Flat screen za 400,000 lkn wanakosa laptop ya 250,000 why why?????? majibu yatakuambia kama mradi wako watafanikiwa au la.
Mkuu hiyo point ya simu kukukwamisha haina ukweli wwte , nimemaliza chuo udsm nimeona watu wana smartphone kubwa tu kama i phone zile plus na ma tablet lakn bdo wananunua na kuazima laptop za kusomea na kufanya assignments.ni wachache mno wanaotumia simu kwa asilimia mia kwenye issues za masomo.Habari wadau;
Katika kufanya utafiti nimegundua kuwa kuna changamoto ya utumiaji wa Laptop katika taasisi za elimu ya juu na hilo limenifanya nifikiri mradi wa kukodisha Laptops kwa wanafunzi wa Chuo.
Kwa kuanza ninafikiri kuanza na Laptop PC 25 na ninalenga kwanza vyuo vilivyopo Dar,Laptop zitakodishwa kwa shilingi 500 au 1000 kwa saa na kama mtu atahitaji kutumia wireless interenet ataongeza 500.na zitatumika ndani ya Libraries za Vyuo tu.Nimeangalia kwa haraka haraka mradi huu utawezesha vijana wasiokuwa na uwezo wa kununua laptop zao wenyewe kuweza kutumia hizi kufanyia asignments na kujisomea mtandaoni.
Kutoka kwenu wadau nahitaji maoni yenu kama ifuatavyo.
Je mradi huu unaweza kuwa na impact yoyote kwa jamii ya wasomi wetu?
Je kuna ambaye angependa kuwekeza katika mradi huu.Unaweza ama kujitolea Laptop ambayo hutumii au unaweza kuchangia pesa kidogo ili tuongeze idadi ya kompyuta.Mradi ukifanikiwa tunampango wa kuupeleka kwenye shule za sekondari na kisha baadaye shule za msingi.
Naomba maoni yenu na mengineyo
Asanteni
Nimependa maoni yako sababu ya kutaka watu watumia hizi PC wakiwa maktaba ni katika kuhakikisha pia watu wanakuwa na utamaduni wa kukaa maktaba na kusoma vitabu.Kuhusu smartphone nakubaliana na wewe kwamba kweli kuna watu wanamiliki smu za bei mbaya kwa ajili ya instagram na hawana laptops.Mkuu hiyo point ya simu kukukwamisha haina ukweli wwte , nimemaliza chuo udsm nimeona watu wana smartphone kubwa tu kama i phone zile plus na ma tablet lakn bdo wananunua na kuazima laptop za kusomea na kufanya assignments.ni wachache mno wanaotumia simu kwa asilimia mia kwenye issues za masomo.
Changamoto nnayoiona apa ni hiyo restriction ya kutumia wakiwa library tu, wengine unakuta wana ma assignment wanaenda kufanyia hostel na sehm nyingine nje ya chuo ss kuhakikisha laptop zako ziko mikono salama ndo itakua ishu ila najua ukikaa chini ukifikir utabun njia ya kulitatua hata temporarily wakat unaanza
Otherwise ni bonge la idea na nadhani tofauati na kununua hizo laptop hautokuwa na gharama nyingine kubwa zaidi ya ku i market biashara yako uanze kupiga ela.Watu kama nyinyi ndo tunawataka kwenye uchumi huu wa viwanda, jicho la fasta la kuona changamoto na kuitatua.
GIZA TOTORoMmmmh wacha waje ila hapo naona giza