Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
Kumbe na wewe pia unadudulishwaga na hawa wanaume wa JF?!Kila mtu na bahati yake
Kuna watoaji wazuri tu humu sio wanaume wote ni mabahili jamani
Kwani mtu kukupa ni mpk akududue??Kumbe na wewe pia unadudulishwaga na hawa wanaume wa JF?!
Yeleuuuwi
Pole
Kila MTU apambane na hali yakeJamani mtaniua mimi nipo buzy natengeneza tamthilia sasa mnanifuata inbox!
Sasamekuja niwaonye wanaume wote hwa humu na wengine wote kuwa mnapokutana kimwili na dada zetu mkimaliza muwaachie hela ya;
1. Nauli ya kuondokea kurudi ma kwao
2. Sabuni ya kuogea
3. Nauli ya kuja tena kupigwa mechi
4. Hela za vocha
5. Nauli ya dharura kama bodaboda ili kuwahi eneo la tubio
6. Hela za mavazi yaani nguo za ndani mana mnawachanaga chupi wakati wa purukushani za ku-do!
Jamani kaka zetu popote mnaposoma huu uzi chonde chonde muwaangalie vizuri dadas wa wary
Wengine hata maji ya kuoga hawatoi wanawafukuza tu watoto wa watu hata perfumes ya kujipaka upwiru usinukie njiani hawana
Muwe na ubinaadamu wanaume hata kama maisha yamebana kwani lazima umchukue mtoto wa watu so ujipunyete kuepusha gharama kwani hamjui kuwa watoto wa kike ni gharama?!
Wanaume Mungu Anawaoooonaaa
Toeni Helaaaaa...
Kila mtu na bahati yake
Kuna watoaji wazuri tu humu sio wanaume wote ni mabahili jamani
hata perfumes ya kujipaka upwiru usinukie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hata ukiduduliwa,wanaume wa humu ni madume ya nyani???si ni binaadamu?Kwani mtu kukupa ni mpk akududue??
Asikariri wapo wanaume wanaojielewa sasa demu analalamikia kupewa nauli, sabuni na vocha!!! Si bora umpe bure sasaahsante mkuu kwa utetezi,Money Penny shift yake imemwndea vibaya
Dharau yangu kwa wanaume wa humu iko wapi hapo maserati!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hata ukiduduliwa,wanaume wa humu ni madume ya nyani???si ni binaadamu?
Mnadharau wakati humu kuna watu sana ndoa zao,wana wachumba na wapenzi.
Mpunguze dharau..
Umeona eeeeh. Asante kwa kunishukuru maana siku ile nmekupa ile laki umechekelea mwnyewKila mtu na bahati yake
Kuna watoaji wazuri tu humu sio wanaume wote ni mabahili jamani
Technic yako imebuma sijawahi pewa hicho kiasi mkuuUmeona eeeeh. Asante kwa kunishukuru maana siku ile nmekupa ile laki umechekelea mwnyew
Na ajabu ukiwa mtu wa kutaka vingi ndio unakosa kabisaAsikariri wapo wanaume wanaojielewa sasa demu analalamikia kupewa nauli, sabuni na vocha!!! Si bora umpe bure sasa
Kazi ipogesti juu yangu, nauli juu yangu, msosi juu yangu, raha ni zako, ma.ni.i nikupe, pole nikupe, posho nikupe, alla! na sabuni pia!!, ukipata sabuni baadae utataka 'roho' kabisa
Sio wewe kapeace,nimemjibu huyo uliemjibu wewe...Dharau yangu kwa wanaume wa humu iko wapi hapo maserati!!!
kweli mkuu kuna watu wamepata wa kuwapa faraja humu humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani hata ukiduduliwa,wanaume wa humu ni madume ya nyani???si ni binaadamu?
Mnadharau wakati humu kuna watu sana ndoa zao,wana wachumba na wapenzi.
Mpunguze dharau..