Ushauri:Mdada wa Qnet namvizia....

Ushauri:Mdada wa Qnet namvizia....

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,114
Tulifahamiana kipindi nipo shule moja uboyzini na yeye alikuwa anasoma shule ya girls. So tulikuwa tunakutana kwenye ma event sababu shule zetu zilikuwa partners. Kanipa mwaliko ana project na ofisi zao zipo makumbusho na amesisitiza nikimuunga mkono atafurah. Na mm nimejiongeza tu atakuwa ananiitia hayo ma-QNET wherever maana nilipomhoj akashindwa hata kunipa jina la project akasema nitajua nikifka kwny semina. Na mm nmejifanya zoba kama hayo mambo siyajui ili ajijue ananichota. na kaniahidi tukitoka kule semina tutarud ghetto kwangu tukae hata masaa 4 tubadilishane mawazo.Ana kamvuto sana natamani kumgegeda sasa nyinyi makajanja mliomo humu nipeni ABCs za kuweza kumlaghai nimtafune kirahisi halaf nimtelekeze na ma-QNET yake.
 
Jiunge na mtandao kwanza halafu utamla mkianza kwenda semina na outreach za Qnet. Mwanangu kabutua wawili ofisi ya Namanga pale
 
Qnet nina demu wangu, huwa wanaambiwa waende kwa wateja wajue wanapokaa na wanapofanya kazi, huwa ninajipa moyo tuu bado hajitiwa huko
 
Ulivo bwege hujui ka huyo dada yupo humu na kasoma upupu wako wote,then kakuvua nyota ka zote
 
Hhahhahahh wewe sijui ni wakumi na ngapi kati ya hao aliowaalika. Sasa cjui kama wote mtamtafuna. Anyway feedback please after Deal done
 
andaa laki 6 ya kujiunga nao, hao wa makumbusho ni AIM Global sio Qnet. Wanatumia watu wa karibu karibu kama ndugu au marafiki ili uwaamini wakunase vizuri.
 
Tulifahamiana kipindi nipo shule moja uboyzini na yeye alikuwa anasoma shule ya girls. So tulikuwa tunakutana kwenye ma event sababu shule zetu zilikuwa partners. Kanipa mwaliko ana project na ofisi zao zipo makumbusho na amesisitiza nikimuunga mkono atafurah. Na mm nimejiongeza tu atakuwa ananiitia hayo ma-QNET wherever maana nilipomhoj akashindwa hata kunipa jina la project akasema nitajua nikifka kwny semina. Na mm nmejifanya zoba kama hayo mambo siyajui ili ajijue ananichota. na kaniahidi tukitoka kule semina tutarud ghetto kwangu tukae hata masaa 4 tubadilishane mawazo.Ana kamvuto sana natamani kumgegeda sasa nyinyi makajanja mliomo humu nipeni ABCs za kuweza kumlaghai nimtafune kirahisi halaf nimtelekeze na ma-QNET yake.
Nshampata huyu demu
 
Back
Top Bottom