kabisa mkuu mtoa mada
kuna jamaa fulani hvi hapa kitaani kwetu ni rafiki yangu kawagegeda mashemeji zake wawili kwa nyakati tofauti
Nothing but ujinga na kutojitambua !. Huwezi tembea na mume wa Dada yako nahata huyo mume naye ni pumbavu na hana akili kabisaa nakama anazo nisaa mbovu !!. Kwanza unaanzaje kumfunulia mapaja mume wadadako ??? Alafu mbaya unafunua huku ukijua hawezi kukuoa ?? Leo nakesho umepata mimba wat next ??? Yanani eti yashemeji ?? Khaaaahh ,.aya nahata ukiificha ujue ndo basi tu naww probability ya kuolewa ni 0 !!Ushauri,
Wadada mlioolewa, wenye ndugu wa kike halafu wanaishi haya maisha ya kimjini mjini kujidai wanazo na masupastaa!!
Epuka kuishi nao nyumba moja, ni hatari kwa ndoa yako!! Hutamani yale unayopewa na mumeo basi nae apate mfano outing, mausafiri haya, mavazi, the way mnavyoishi na n.k!!
Mbaya zaidi hawatongozwi wala kutongoza bali hutumia maungo yao na mbinu za kikungwi wanazopeana wazi wazi kwenye magrupu ya watsapp!! Mumeo akichomoka hiyo mitego kapike sadaka
Ni experience ya moja kwa moja, mbaya zaidi kuna jamaa zangu mmoja wapo akathimulia anavyomtafuna shem wake. Nikipimia mitego nayopata na story za jamaa naona kama siku hizi imekuwa fasheni mabinti kutembea na mashem zao!!! Kuweni makini sana
Karibuni
watu wamegegeda mama mkwe washindwe shemeji..mamakwe kaja na bado anaita..paja bado bichi asiliwe papuchi??wenyewe nao wanapenda atikabisa mkuu mtoa mada
kuna jamaa fulani hvi hapa kitaani kwetu ni rafiki yangu kawagegeda mashemeji zake wawili kwa nyakati tofauti