ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Asante MkuuKwanza hongera sana kwa kufikiria hii biashara. Kwa kuanzia nashauri seriakali iache matamko kwamba kuchoma mahindi ni kusababisha njaa. Kuchoma mahindi kunachochea wakulima kuwa na mbadala wa shughuli za kufanya. Narudi kutoa ushauri
Nalimia ukanda wa Pwani kwahio sidhani kama ni sawa kutegemea sana soko hilo, sina uhakika kama soko hilo ni kweli reliable ama linaathiriwa na Siasa za Mahindi. Ningependa sana kupata taarifa kama kuna local marketHongera kwa kuamua kujikita kwenye kilimo. Kifupi ni biashara nzuri kwa huku kanda ya kaskazini kuna jamaa wakenya wanakuja shambani kabisa mnakubaliana bei wanavuna wenyewe, Hatuna mda wa kupeleka mnadani.
Nakushauri we ingia mzigoni, yakianza beba mahindi anza kutafuta wateja wa jumla anunulie shamba, biashara za minadani nazo zina usumbufu wake.
Soko la mahindi lipo stereo temeke kwa kweli soko lake n kubwa hasa wakati wa kimvua ndio balaa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile
Asante Mkuu.. tumeshauriwa sana humu ndani kutolima kabla ya kufanya utafiti. Huu ndio utafiti nafanya kwahio natumain wadau watafungukaBado naona hajapata majibu sahihi kwa maswali yake.Naomba wajuzi wa hizi mambo muje mumsaidie ndugu yetu.
kweliBado naona hajapata majibu sahihi kwa maswali yake.Naomba wajuzi wa hizi mambo muje mumsaidie ndugu yetu.
Asante Mkuu. Nalimia VianziSpace nzuri ni ni 30×90 kwa indi moja moja na 50 kwa 70 kwa mahind mawili kwa hekari yatatoka mashimo zaidi ya 10,000 kwa eneo nilipo mimi wateja ni uhakika yaan uhakika ila wananunulia shamban kwa bei ya 120 had 140 kwa indi moja kwa maeneo ulipo sasa cjui
Ipo mkoa ganiAsante Mkuu. Nalimia Vianzi
Unalima mbegu gani? Ya muda wa miezi mi ngapi Hadi kufikia kuchoma?Space nzuri ni ni 30×90 kwa indi moja moja na 50 kwa 70 kwa mahind mawili kwa hekari yatatoka mashimo zaidi ya 10,000 kwa eneo nilipo mimi wateja ni uhakika yaan uhakika ila wananunulia shamban kwa bei ya 120 had 140 kwa indi moja kwa maeneo ulipo sasa cjui
Kitale au dk kwa muda wa siku 75 had 90Unalima mbegu gani? Ya muda wa miezi mi ngapi Hadi kufikia kuchoma?
Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.Habari wadau
Nishachoka kumaliza hela kwenye matikiti sasa nataka kurudi kwenye kilimo chetu cha asili.
Nataka kulima mahindi ya kuchoma niuzie Dar es Salaam kwahio naomba ushauri sa mambo kadhaa;
1. Bei ya chini kabisa kwa hindi moja mnadani ni kiasi gani na Minada yake yafanyika soko gani hapa Dar? Mauzo mwaka mzima au kwa msimu fulani?
2. Madalali wake ni pasua kichwa kama wale wa matikiti wa Vetenary?
3. Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma? Yani hindi kubwa na tamu. Ya asili au Hybrid?
4. Pia naomba ushauri wa spacing ili kupata mazao ya uhakika. Niache mche kwa mche sentimenta ngapi na mstari sentimeta au mita ngapi?
5. Mambo gani muhimu kuzingatia?
Tupeane maarifa wandugu, hali ni ngumu.
Natanguliza shukran!
Nimi nimepanda pioneer wanasema ni mazuri kuchoma tofauti na DK nataraj uza mabichi mwezi wa 12.Mimi nalima matikitii na mahindi kwa pamoja, hii ni mara ya kwanza nalima mahindi kwenye matikitii. Ila ni mzoefu wa kulima matikitii.
Nilishauriwa kua mahindi mazuri kwa kuchoma ni mbegu ya pioneer, hivyo nimelima hayo, nategemea mwezi wa 11 katikati yatakua tayari.
Huku buyuni - kigamboni, naambiwa wanunuzi hua wanayafuata shamba wenyewe, bei ni kati ya 250-300 kwa mahindi mmoja.nadhani ukinitafuta mwezi wa kumi na moja katikati nitakua na maelezo sahiii.
Ila kwenye matikitii ni mzoefu, mimi huwa nauzia soko la temeke stereo. Madalali usipo pata waaminifu ni Majuto.View attachment 1948774View attachment 1948776
Kila raheri mkuuu, mimi yako kwenye mbelewele na mengine yana watoto tayariNimi nimepanda pioneer wanasema ni mazuri kuchoma tofauti na DK nataraj uza mabichi mwezi wa 12.