[USHAURI] Magari ya Nissan

[USHAURI] Magari ya Nissan

babap

Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
62
Reaction score
15
nahitaji kununua nissan liberty ila sijajua madhaifu kuhusu gari lenyewe japo kwa muonekano ni zuri sana. Naomba kwa anaelifahamu kwa undani anifahamishe kabla sijaingia mkenge!
 
nissan ni magari mazuri sana,japo spea zake ziko juu kidogo kwa bei,ukinunua unasahau.haziharibiki hovyo,try to check kwenye matangazo madogo kuna nissan ninauza inaweza ikakufaa pia.
 
zinapenda sana sehemu ya baridi maana zina tabia ya kuchemsha
 
zinapenda sana sehemu ya baridi maana zina tabia ya kuchemsha
 
Back
Top Bottom