mkuu ukichunguza vizuri pia utakuta wanawake zao ni wakawaida sana ila michepuko ndo huwa tunatafuta wenye vigezo hivyo..Kwanzaa Asante kwa kutoa pole..
Ungeanza kuongea na hao wanaume wanaoshangilia Makalio makubwa sijui na hips ingekuwa vyema..
Hawa Wenzetu huwa wanausoma upepo, wanaume wakipenda wanawake weupe basiii kila mwanamke yuko busy na mikorogo.
Wanaume ndo wangeweza kutusaidia hili bila kuwa na unafiki msishadadie hayoo.....
Kama ndo hivyo ujue tatizo halitokaa liishe... Maana na wewe unajua ukweli!!!!mkuu ukichunguza vizuri pia utakuta wanawake zao ni wakawaida sana ila michepuko ndo huwa tunatafuta wenye vigezo hivyo..
Katika ubora wakoKama ndo hivyo ujue tatizo halitokaa liishe... Maana na wewe unajua ukweli!!!!
Upo bestKatika ubora wako
Mie mzima Shunie wangu anaumwa jamani...
mkuu ukichunguza vizuri pia utakuta wanawake zao ni wakawaida sana ila michepuko ndo huwa tunatafuta wenye vigezo hivyo..