Mm nadhani viongozi wa zanzibar wasikImbilie kuuuvunja muungano kwanza....cha umuhimu ni kuangalia fursa zilizopo ndani ya zanzibar na kuziendeleza ipasavyo ili kila mzanzibar aweze kufaidika na rasilimali zilizopo.
1. Imarisheni utalii kwa kuhakikisha kuwa vitu vyote vya kitalii vikiwemo majengo ya zamani na historical sites zinatunzwa na kulindwa vizur ili hadi vizazi vijavyo vinufaike navyo
2. Jengeni kila mkoa kiwanda cha kusindika samaki ili mradi kila mwana shehia(kijana ) na mkaazi wa eneo lilipo kiwanda anapata ajira na kuifanya zanzibar iwe ni sehemu inayoongoza kwa kuuza samaki upande wa afrika mashariki.
3.Imarisheni miundombinu ikiwemo barabara na bandari ili zanzibar iwe moja kati ya nchi yenye bandari huru.
4.Fufueni zao la mwani na fanyieni jitihada katika kuiimarisha mikarafuu .
Mkifanya haya ,kila mtanganyika atatamani kuja zanzibar...then yakikamilika mnaweza kuvunja muungano.
Nionavyo mm,viongozi kuna kitu wanakihitaji, ila wazanzibar hawajui viongozi wa zanzibar wanataka nn( noncoincidence of wants)
Nawasilisha
Mzaliwa wa pemba