Ushauri kwa Wanaofanya Interview Utumishi

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,307
Reaction score
13,746
Wakuu Tanzania Field Zote zina Watu wa Kutosha tusijifananishe na Enzi Zile mtu akimaliza Masomo yake anaandikiwa Barua ya Kuanza Kazi bila kujali Competence yake Sasa hivi Wahitimu ni Wengi Vyuo ni Vingi Ubora wa Graduates Unatofautiana hivyo Kuna vitu kama Interview siku hizi nimeona mpaka Marubani wanafanya interview.

Mambo ya Msingi ya kuzingatia Kabla ya Kwenda Sehemu ya Interview.

1.Jiandae kwa Kusoma hasa ya Darasani Wakati umemaliza Jikite na Mambo ya Msingi yatakayokuletea Faida kama Kusoma Magazeti Punguza Kushinda Instagram na Kufuatilia Vipindi ambavyo havina tija katika Maisha yako Mimi Binafsi siwezi Kupungukiwa kitu kwa kutofatilia Shilawadu.Hivyo jikite kusoma Magazeti na makala zenye tija Mitandaoni.

2. Nenda na vifaa vyote Wakati wa Interview/usaili Wale wa Uhasibu Mnafahamu na nawashauri kuwa utumishi huwa wana Suprises kuna siku niliingiaga kwenye interview nikakutana na Maswali ya International Finance na Financial Management yalikua ya Kutumia Calculator kasoro moja tuu so nunatakiwa uwe na Vifaa.

3. Be familiar na Areas ambazo wanapenda kuzitoa sana Ukiona Utumishi Wamechanganya Sifa kuwa wanahitaji Either uwe umesoma Economics, Finance, Accounting, Law, n.k hapa Obvious haina haja ya Kukomaa na Calculator hapa komaa sana na Current Issues na Research (hii ni Sehemu pendwa) kwani Vyuo vingi katika Stage ya Undergraduate huwa wanalipua sana research Hivyo kwa Muda wako jisomee badala ya kushinda Instagram na Kuwafatilia akina Tunda, wema Sepetu na hata Mose iyobo.

4.Usiweke mitazamo hasi kichwani mwako ila unaingia kwenye interview umeshashindwa mathalani Mtu anaanza kusema oooh! Mwanangu CRDB bila kuwa na Mtu wa ndani au kama Siyo mchaga huchomoki mitazamo hii si ya kweli ni stress tuu za Kukosa Kazi na hata wewe Mmatumbi ukipata utagundua kuwa haiwezekani Organization kubwa kama ile iwe na Wachaga tuu.

5. Cheza na Nyakati ewe mtafuta ajira usifanye uzembe wa kutofanya maombi hasa Kazi nyingi zinapotangazwa lakini tuna kawaida ya kusema kwenye interview wanabebana Nakuhakikishia hakuna mtu mwenye ndugu 100, 200, au 300 wa kuwaweka katika taasis hiyo Kazi zinapotangazwa nyingi tumia nafasi hiyo kuomba kwa usahihi.

6. Siku ya Usaili jitahidi kuwa nadhifu kama msichana/mwanamke vaa Sketi au Gauni yako ambayo unakua comfortable ambayo siyo fupi pia unavaa na Viatu ambavyo si virefu sana. Mvulana/mwanaume unavaa suruali mi binafsi huwa napenda kuvaa Kadeti lakini kwenye interview hasa Oral napenda kuvaa suruali ya kitambaa hasa nyeusi na shati lolote ila jeupe is the best
-Nyoa/suka nywele zako Vizuri zitakazokupa Professional Look sitarajii Graduate eti unanyoa Kiduku au umepaka mapiko kichwani na Wave (wanaume) au umesuka nywele pembeni halafu katikati umeziachia ( wanawake) try to be professional.

7. Usisahau kula ama Kubeba fedha za kula siku ya usaili aisee mi Wakati nahangaika sikula asubuhi nilikua na nauli tuu ya kurudia utumishi pale Zamu yangu ilifika kama saa moja na Dakika 10 hivi Usiku imagine hapo taangu niamke saa 10 Alfajiri Njaa ilikua inagonga mbaya .

Nakumbuka Usaili ule nilipita na Kupangiwa Halmashauri moja hivi Japo nilienda tuu lakini nikaitwa mafunzoni kwenye Kazi nyingine iliyopatikana kibahati pia nikapiga Interview nyingine utumishi nikapita kwa kuwa ilikua purposely hapo ndo nahudumu kwa Sasa na Kule kwingine bado napiga Japo zote ni za serikali.

8: Jiamini Hiki ni kipengele muhimu sana Utumishi wanapenda watu wanaojiamini wanafuatilia movement za miwili wako kuanzia mikono so Usiogepe ogope vile ni vitu vya kawaida na Rehearsal na Rafiki yako/mdogo wako katika open place hasa uwanjani au beach na mpeane marks itakusaidia Ku control vitu kama Sauti.

9: Usijiwekee 100% kuwa wewe ndo wa kupata hiyo Kazi mwingine ameomba Kazi Mara mbili anashashindwa anaanza kuja na thread kibao za kuwaponda utumishi ooooh! Sitakuja kuomba Kazi tena sijui wanapendelea Tujaribu kukubali matokeo na kutoa maelezo ambayo ni Professional kuwa umeshindwa kwa sababu hukujiandaa Vizuri siyo kuanza kusingizia oooh mbona nilijibu Vizuri ki ukweli hakuna mtu akayehakikisha kuwa umejibu vizuri huko ni kutapatapa kwa mtu aliyeshindwa.

10. Acha Kulalamika kuna Kazi Inakusubiri wewe Hivyo ongeza kutuma maombi ya Kazi na Kumuomba Mungu.

Kwa Ushauri ama Maoni napatikana hapa hapa nawatakia Usiku mwema acha nikacheze na Shemeji/wifi yenu Sasa.
 
Ulichosema ni kweli tupu sina la kuongeza. Mwenye akili timamu atakuwa tayari kufanyia kazi ushauri wako.
Mkuu msalimie shemeji.
 
Ubarikiwe kwa ushauri mzuri aisee...
 
Leo umekitendea haki chuo chetu cha kule Kaskikazini.
 
Aiseee ongezea kuwa ukishapata hiyo kazi fasta anza kuwekeza salary upate mtaji wa kujiajiri...kijana usitegemee kuajiriwa mpaka kufa utakufa maskini
 
Unazingua kuna ulazima gan wa kuquote hyo post ndefu..
Huo ndiyo mwisho wa akili yako,thread quotation unaona tabu kusoma,je utaweza kujiandaa na interview za utumishi? Ndiyo nyinyi mnakuja na threads za kuponda utumishi kwa uvivu wa kusoma. Acha uvivu usipende mteremko kijana.
 
Hili halikua jibu sahihi...
Unajua wengi tunatumia simu hafu ukikoti hvo unatusumbua ku skroo. Ungeomba radhi ingekua busara zaid...
 
Mkuu tusiharibu hii thread nzuri naomba tujikite kwenye mada.
Hayo mengine hayana umuhimu kwa sasa.
 
Ujakosea hata kidogo, japo wale wajinga hama wenye akili kuzidi umri wao hawatakosa na kuweka matusi au lugha za kuudhi.

Hakuna kitu muhim kama graduates kuunganisha au kufikiri katka ulicho jifunza chuon na uhalisia.
Mfano umemaliza Bachelor of Economics, kichwa chako kina theories nyingi sana, kujua hizo pekee haitoshi kama unashindwa kuwa mchambuzi ktk hali halisi kwa kufatilia matukio ya nje na ndan ya fan yako.
Mfano report za world bank, bot, imf, kujua sera ya mpango wa nchi wa muda mrefu na mfupi, ( five years development plan)
Hali ya fedha, na mitaji, (stock market). Unapanua uwelewa wako na kukupa confidence maana umepata vitu ambavyo ni halisia.

Sasa tulio wengi tunafatilia vitu vya kipumbavu tuuu na kujipongeza kwa kufanya ujinga.

Wandugu elimika ni kujenga hoja na sio kujua kingereza (wengi wakiweza kuandika na kuongea kingereza wanajipongeza na kujiona wamesoma, ila maneno yao hayana point za msingi kwa kuto jishughulisha.

Usiogope kuomba na International organisation ukijiandaa unapata tuuu na ukitaka kujua inawezekana katembelee na uone kama hakuna mtu kama wewe alie ajiliwa hapo
 
Duh hicho kitengo cha kunyoa sasa sisi wavulana wenye rasta vipi? Na hatuvuti bangi wala kunywa hayo mapombe yao! Ni maji na Agano la Kale tu. Tunafanyaje sasa hapa mkuu
 
8: Jiamini Hiki ni kipengele muhimu sana Utumishi wanapenda watu wanaojiamini wanafuatilia movement za miwili wako kuanzia mikono so Usiogepe ogope vile ni vitu vya kawaida na Rehearsal na Rafiki yako/mdogo wako katika open place hasa uwanjani au beach na mpeane marks itakusaidia Ku control vitu kama Sauti.
Kiuhalisia hiki ndicho kilichonibeba!!!

Nakumbuka niliulizwa maswali kama manne au matano na sina kumbukumbu kama kuna swali nilijibu 100% correct may be swali moja au mawili!!!

Baada ya kumaliza interview nikiwa najiandaa kutoka nje muuliza maswali akasema "I like your confidence" huku akiwa anacheka nikajua ananitania tu baada ya kuboronga kujibu maswali!!

Ila baada ya matokeo nilipoona jina langu lipo ndio nikajua moja kati ya factor zilizonisaidia ni kujibu maswali kwa kujiamini (bila kujali jibu ni sahihi au sio)!!

Kwa hiyo mkuu hapa naungana na wewe kujiamini ni jambo la muhimu sana!!

Ila ni lazima tujue huwezi jibu maswali kwa kujiamini kama haujajiandaa vizuri!!!

Anyways acha nika hakikishe kila mtanzania anapata maji safi na salama!!
 
Back
Top Bottom