ushauri mzuri umeutoa. Tunashukuru. Ila vipi kuhusu Archeology..ina nafasi nzuri za kazi?Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata rufaa(Appealing) ndani ya siku 90 baada ya muhula wa kwanza wa masomo kuanza, fomu za ku-appeal mtapata vyuoni mliko pangwa kwa mshauri wa wanafunzi(dean of students), nina imani mtafanikiwa. Mliopata mkatumie pesa izo vizuri, msinunue simu kali, sabufa, TV, na pamba za bei mbaya. Tulieni, someni kwa bidii, muone mbele zaidi(vision) mkifaulu vizuri na GPA nzuri hamtakumbana na changamoto katika soko la ajira. ASANTENI SANA, NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.
ushauri mzuri umeutoa. Tunashukuru. Ila vipi kuhusu Archeology..ina nafasi nzuri za kazi?
<br />Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata rufaa(Appealing) ndani ya siku 90 baada ya muhula wa kwanza wa masomo kuanza, fomu za ku-appeal mtapata vyuoni mliko pangwa kwa mshauri wa wanafunzi(dean of students), nina imani mtafanikiwa. Mliopata mkatumie pesa izo vizuri, msinunue simu kali, sabufa, TV, na pamba za bei mbaya. Tulieni, someni kwa bidii, muone mbele zaidi(vision) mkifaulu vizuri na GPA nzuri hamtakumbana na changamoto katika soko la ajira. ASANTENI SANA, NAWATAKIA MAANDALIZI MEMA.
nimepangwa UDSM. Thanx umenipa moyo maana ninaiweza history ila wasiwasi wangu ulikuwepo kwenye kupata kazi.Bila shaka umepata udom, Archeology ni nzuri, na hata kwenye soko la ajira, kwakuwa unaweza fanya kazi pia National museums, hata hata idara ya mali asili.
<br />
<br />
sasa huu ni ushauri au unakatsha wa2 tamaa,c bora ungekaa kimya 2 mkuu!
Tehe kuna shemeji yangu kahonga milioni mbili na laki nne alizopata mwaka jana. Mkwe wangu kampigia simu anamuuliza ada umelipa anasema pesa ilikuwa kidogo, khaaaa wanamdekeza mno eti wanamwangalia tuuu
thanx mkuu kwa ushauri mzuri,nkifika huko nitauzingatia.
Huu nao ni ushaur?. Historia itawafundisha.
Kamata LIKE hapo!
wewe ni mtu wa tatu kumsikia akiwa anazungumzia hilo. Hapa pana ukweli ndani yake.Ushauri wako mzuri sana hasa kwa wale viumbe watakaopangwa mitaa ya sosho(udom) ukichezea vijicent bs usipopiga lampard utaishia kuuza mbweche huko 84 na kwingneko. Wale walevi hamieni ground floor cuz km elf 5 zilileta maafa cjue 7500 itakuwaje. Karibuni kwa sana ujasini....
nimepangwa UDSM. Thanx umenipa moyo maana ninaiweza history ila wasiwasi wangu ulikuwepo kwenye kupata kazi.
<br />Huu nao ni ushaur?. Historia itawafundisha.