Ulichagua course gani? Kukosa mkopo sio ndio mwisho wa kutimiza ndoto zako,unaweza ukasoma. Tafuta sponsorship na ndugu nyumbani wanaweza kukuchangia. Kuna rafiki yangu alikosa mkopo,amepata sponsorship Barrick wanamlipia ada yote yeye anahangaika hela ya chakula na mambo mengine madogo madogo! Lakini haikuwa rahisi ila Mungu amemsaidia