Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 845
- 3,422
Mwanafalsafa mmoja alinena: daktari aona magonjwa ya mwanadam, mwanasheria aona uovu na kiongozi wa dini aona upumbavu. Mwana theology anaona yajayo kama yanafuraisha au yanauzunisha....Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi ya majalada makubwa na nyeti na majivu yake kutupwa kabisa baharini, pili kujifanyia "cross checking" ya nguvu na ya uhakika na tatu ni kujidunga sindano ya kupetaza memory kwa wale wote waliogusa hayo majalada.
Hali si hali wakuu kwani pazia la nchi lilishapasuka na majalada vyeti kusambaa kwa upepo wa nguvu la kupasuka kwa pazia, kuna watu wameyaokota majalada hayo na kuyahifadhi na wanajifunza kwa bidii sana lugha iliyoandikwa humo ili wapate siri zilizopo.
Kama ilivyo kawaida ya watu kula kiapo cha kutokutoa siri ni bora kufa, hivyo hivyo kuna watu wamekula kiapo cha bora wafe kuliko kutokutoa siri na karibu watayafikia hayo majalada.
Nashauri msiishie tu kuelekeza nguvu nyingi kupambana na mvua za Elli-Nino ambazo mnajua fika zinaashiria nini kiroho.
Mwisho mmeingia mtego wa kupambana na "kiti" ambacho kina nguvu kuliko "kiti" chenu na wenye hekima ya utawala wanalijua hili sema wanafanya makusudi baadhi na wengine wanajaribu kupima nguvu kimzaha na wengine waogopa nyakati na kukaa kimya.
Hapa ndipo penye hekima.
Mkono wa Bwana uwe juu ya viongozi wa Taifa letuKwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi ya majalada makubwa na nyeti na majivu yake kutupwa kabisa baharini, pili kujifanyia "cross checking" ya nguvu na ya uhakika na tatu ni kujidunga sindano ya kupetaza memory kwa wale wote waliogusa hayo majalada.
Hali si hali wakuu kwani pazia la nchi lilishapasuka na majalada vyeti kusambaa kwa upepo wa nguvu la kupasuka kwa pazia, kuna watu wameyaokota majalada hayo na kuyahifadhi na wanajifunza kwa bidii sana lugha iliyoandikwa humo ili wapate siri zilizopo.
Kama ilivyo kawaida ya watu kula kiapo cha kutokutoa siri ni bora kufa, hivyo hivyo kuna watu wamekula kiapo cha bora wafe kuliko kutokutoa siri na karibu watayafikia hayo majalada.
Nashauri msiishie tu kuelekeza nguvu nyingi kupambana na mvua za Elli-Nino ambazo mnajua fika zinaashiria nini kiroho.
Mwisho mmeingia mtego wa kupambana na "kiti" ambacho kina nguvu kuliko "kiti" chenu na wenye hekima ya utawala wanalijua hili sema wanafanya makusudi baadhi na wengine wanajaribu kupima nguvu kimzaha na wengine waogopa nyakati na kukaa kimya.
Hapa ndipo penye hekima.
Muda utasema.No comment.
Vunja code mkuu , twende sawa.Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi ya majalada makubwa na nyeti na majivu yake kutupwa kabisa baharini, pili kujifanyia "cross checking" ya nguvu na ya uhakika na tatu ni kujidunga sindano ya kupetaza memory kwa wale wote waliogusa hayo majalada.
Hali si hali wakuu kwani pazia la nchi lilishapasuka na majalada vyeti kusambaa kwa upepo wa nguvu la kupasuka kwa pazia, kuna watu wameyaokota majalada hayo na kuyahifadhi na wanajifunza kwa bidii sana lugha iliyoandikwa humo ili wapate siri zilizopo.
Kama ilivyo kawaida ya watu kula kiapo cha kutokutoa siri ni bora kufa, hivyo hivyo kuna watu wamekula kiapo cha bora wafe kuliko kutokutoa siri na karibu watayafikia hayo majalada.
Nashauri msiishie tu kuelekeza nguvu nyingi kupambana na mvua za Elli-Nino ambazo mnajua fika zinaashiria nini kiroho.
Mwisho mmeingia mtego wa kupambana na "kiti" ambacho kina nguvu kuliko "kiti" chenu na wenye hekima ya utawala wanalijua hili sema wanafanya makusudi baadhi na wengine wanajaribu kupima nguvu kimzaha na wengine waogopa nyakati na kukaa kimya.
Hapa ndipo penye hekima.
Nyakati zimefika,Hawana Tena pa kuficha codes zao,Kila kitu kipo mbioni decoded!
"Mwisho mmeingia mtego wa Kupambana na "KITI "kilicho na nguvu zaidi ya "KITI" chenu".Nyakati zimefika,Hawana Tena pa kuficha codes zao,Kila kitu kipo mbioni decoded!
Zile funguo zimeshapatikana,wameshindwa na hawana namna Tena zaidi ya kutazama anguko lao!!
Too late!
Kazi inaanza hadi ifike tarehe 20 mwezi was tano nyika itafurika mataifa ya mbali kuja kutatua changamoto zao!!"Mwisho mmeingia mtego wa Kupambana na "KITI "kilicho na nguvu zaidi ya "KITI" chenu
Msiishie tu Kupambana na mvua za Er nino ambazo mnajua zinaashiria nini kiroho🙄🙄
Kumekucha Nyikani.
Asee umeandika mambo mazito,Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi ya majalada makubwa na nyeti na majivu yake kutupwa kabisa baharini, pili kujifanyia "cross checking" ya nguvu na ya uhakika na tatu ni kujidunga sindano ya kupetaza memory kwa wale wote waliogusa hayo majalada.
Hali si hali wakuu kwani pazia la nchi lilishapasuka na majalada vyeti kusambaa kwa upepo wa nguvu la kupasuka kwa pazia, kuna watu wameyaokota majalada hayo na kuyahifadhi na wanajifunza kwa bidii sana lugha iliyoandikwa humo ili wapate siri zilizopo.
Kama ilivyo kawaida ya watu kula kiapo cha kutokutoa siri ni bora kufa, hivyo hivyo kuna watu wamekula kiapo cha bora wafe kuliko kutokutoa siri na karibu watayafikia hayo majalada.
Nashauri msiishie tu kuelekeza nguvu nyingi kupambana na mvua za Elli-Nino ambazo mnajua fika zinaashiria nini kiroho.
Mwisho mmeingia mtego wa kupambana na "kiti" ambacho kina nguvu kuliko "kiti" chenu na wenye hekima ya utawala wanalijua hili sema wanafanya makusudi baadhi na wengine wanajaribu kupima nguvu kimzaha na wengine waogopa nyakati na kukaa kimya.
Hapa ndipo penye hekima.
Ameshajua kiti Cha mungu wa Tanzania kimeshachukuliwa tayari!!Asee umeandika mambo mazito,
Ni kama vile nawe umebahatika kufungua code za baadhi ya majalada hayo.
Ni kama Yeye,Ameshajua kiti Cha mungu wa Tanzania kimeshachukuliwa tayari!!
Hawana pa kukimbilia tena,mamlaka Yao Haina nguvu ya kuimiliki Tena nyika!!
Nani amfunge paka kengele!!?
Kaandika kama TumainiEl vile!!
Ndugu yangu mambo ni mazito sana kwa ndani kuliko tunavyoona.Asee umeandika mambo mazito,
Ni kama vile nawe umebahatika kufungua code za baadhi ya majalada hayo.
Ni hatari sana!.Ameshajua kiti Cha mungu wa Tanzania kimeshachukuliwa tayari!!
Hawana pa kukimbilia tena,mamlaka Yao Haina nguvu ya kuimiliki Tena nyika!!
Nani amfunge paka kengele!!?
Kaandika kama TumainiEl vile!!
Kweli tunahitaji uelekeo mpya kabisa!!Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.