Mfano mimi ninavyojua kuhemea mdomoni hakukupi pumu ila inasababisha uchoke haraka mfano ukiwa unabox au unakimbia na kuhemea mdomoni ni kisababishi cha kichomi pia na siyo misuli ya moyo kua nyanya.
Kingine ni pale unapokunywa maji mengi halafu ukaanza kukimbia kama siyo mzoefu lazima utajikuta unapata kichomi, hata ukinywa maji na ukatembea kwa umbali mrefu kichomi kitakupata tu.
Kuhusu sukari, kuna supplimeents zimetengenezwa mahsusi baada ya kumaliza workout ambazo zinakua na sukari unazizungumziaje hizi? Hapo hapo tunaamini kua sukari ni chanzo cha nishati yako.