Ushauri kwa Wabunge

mushora

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
406
Reaction score
977
Wakati mjadala wa azimio la Bunge la uwekezaji ukiwa unaendelea:
Jikiteni kujadili hoja zilizo kwenye huo mkataba/ makubaliano. Acheni tabia ya kutusema Sisi tulio nje ya Bunge. Msidhani mnaelewa Sana kutizidi. Acheni kutuchamba.

Maoni yangu;
Maeneo ya kimkakati kama bandari, Viwanja vya ndege, mbuga za wanyama, reli, posta na simu vibaki kwa wawekezaji wa ndani. Tuendelee kujifunza na kupata uzoefu tujisimamie ili na Sisi siku moja tukawekeze huko duniani
Naomba kutoa hoja
 
Uko sahihi,naona wanarusha vijembe tu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Speaker ameshawaambia kwamba wao kazi yao ni kuridhia, kazi ya kusaini mikataba ni ya serikali na hapo ndo tutapigwa KO maana hakuna ulazima wa kuleta mikataba bungeni.
 
Hawa jamaa wanadhani Wana akili Sana kutuzidi
1. Uwekezaji wa madini imefikia wapi? Tumshukuru sana JPM alijitahidi licha ya mapungufu yake ya kibinadamu
2. Mkataba wa gesi ulio letwa kwa hati ya dharura tunafaidika nn?
Aisee tuwe makini kama nchi vinginevyo tumekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…