Ushauri kwa Serikali ajira ngazi za Serikali za Mitaa

Ushauri kwa Serikali ajira ngazi za Serikali za Mitaa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
A

Anonymous

Guest
Ushauri kwa Ofisi ya Rais sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma, (PSRS) Naomba serikali hasa upande wa serikali za mitaa utoa fursa za kuomba kazi hata kwa wahitimu wenye vyeti vya digrii, kuna nafasi kama za watendaji wa vijiji na kata watu wenye fani hiyo waliosoma degree kutokea 4M6 hawezi kuomba, sababu wana cheti cha digrii. Halmashauri nyiki hazitoi kipaumbele kwa watu wenye digrii kuajiriwa hii imepelekea watu hasa waliohitimu ngazi ya digriii kukosa fursa za ajira ngazi ya halmashauri

02. Ikiwa jambo hilo haliwezekani basi zinapotokea nafasi zinazohusu digrii basi hawa wa certificate na diploma wasihusiswe, hii imetokana na kuhusishwa katika maombi ya kazi kwa watu wa Diploma katika nafasi zinazo hitaji watu wa Bachelor tunaomba uliongo mmoja wa ajira iwe serikali za mitaa au serikali kuu kila mtu mwenye kata husika apate nafasi ya kuomba kazi bila kuangalia kiwango cha elimu ili mradi awe muhusika wa fani kamili

03. Kujitolea serikalini ni dhambi? ikiwa si dhambi naishauri serikali pia ijaribu kuwatazama watu wanao jitolea katika nyanja mbalimbali. waziri mwenye dhamana amekua akiulizwa bila kutoa majibu yanayo ridhisha
 
Back
Top Bottom