Ushauri kwa Rais Kikwete

Mkulia

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
375
Reaction score
95
Ndugu wana JF HERI ya mwaka mpya 2013. Wakati tukiwa tunasherehekea kuuaga mwaka 2012 na kuingia mwaka mpya 2013,nawaomba tutumie fursa hii pia kumshauri Rais wetu mambo kadhaa ambayo unadhani yatakuwa msaada katika kuliongoza taifa hili na kukemea yale unayodhani yalikuwa ni mabaya/kasoro katika utendaji wake kwa mwaka uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…