Ushauri kwa rafiki yangu

Ntampa ushauri wenu, asanteni sana!
 
Hii imekaa vizuri sana...vp na yeye bibie akibeba kwenye kibeti chake itakuwaje?
 
Hii imekaa vizuri sana...vp na yeye bibie akibeba kwenye kibeti chake itakuwaje?

Hayo ndiyo mashindano yasiyotakiwa! Anabeba ili amuaminishe mume wake kwamba naye si muaminifu au anaenda kutumia?
Chukua ushauri wa kujenga na si kubomoa ndoa ya mwenzio!
Unategemea mme wake akiona ndiyo ataacha kuchepuka? au mgogoro ndiyo utazidi?
Mwanaume ni rahisi sana kuvunja ndoa yake haswa kwenye suala la mke kukosa uaminifu! Hasara kubwa ni kwa mwanamke trust me!
Kwahiyo mwanamke ni kuwa mpole kama huwa na mjanja kama nyoka!
 

Yeye kasema ameshamchoka jamaa, yuko radhi abaki mwenyewe na wanawe maana ndo bado wanasoma! so ameshukuru sana kwa advice zenu kuchanganya naza kwake kwa kumuekea jamaa kondom na kuzitoboa ili akienda nje apate maradhi. Na yeye atasitisha hilo tendo kwa kipindi hichi...anachohitaji ni mali zake tuu. Shughuliiii:A S-eek:
 

hebu muambie huyo
eti amchachambue hizo akili matope
enhee ukishamaliza kumchachambua mwenzio anampa mahaba mahabani
nna wasiwasi na huyo dada ukute yeye ndio shida mpaka anamrekodi mmewe halafu iweje?
we kalia kurekodi na kuchambua km karanga watu wanasaga na kukoboa
 

We ndo shogaake,rafikiyake anaekutegemea kwa ushauri,? Kala hasara,na akitoboa condom akipapata maradhi akafa mwenye hasara ni nani kama si watoto wake?
 

Nadhani ndugu hujasoma post vizuri...naona unamaoni mazuri ila rudia kusoma vizuri.
 
We ndo shogaake,rafikiyake anaekutegemea kwa ushauri,? Kala hasara,na akitoboa condom akipapata maradhi akafa mwenye hasara ni nani kama si watoto wake?

Yeye kasema anajua ni jinsi gani atamfanya watumie...akilogwa akubali tuu amekwisha! Maana yeye anataka tuu yale majumba, magari, miradi, magorofa n.k. Watoto atawalea tuu baada ya kupata urithi!.
 

Acha kufoka pumba, usidhani kila mtu kama wewe.
 

Hapo sasa umenena kiutu-uzima!
 
Jf inapoteza ubora wake....
Yaani mpaka hili lijadiliwe na ma GREAT THINKER....??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nawashauri mods wawatengee jukwaa la kuchambana..na kusutana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…