kumbe anajali anatembea na condom?huyo anafanya makusudi tu,sasa cha msingi huyo dada awe anamsaidia kuweka condom nyingine kwenye bag kila anapoondoka amuwekee kimya kimya tena kwa usiri mkubwa,kila siku ahakikishe hazikosekani, asimuulize hata siku moja.akimuuliza watagombana, ye aweke kimya kimya ipo siku mumewe atajua kuwa mkewe ndo anamuwekea hivyo itafika kipindi dhamira itamsuta atabadilika kimya kimya,hakuna kitu kibaya kama kumfanyia mtu ubaya halafu ukitegemea atakuuliza lakini ye akuulizi anakaa kimya na hali ukweli anaujua ni mbaya sana hiyo kisaikolojia hasa kwa mtendaNi adhabu tosha.